CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Almost there!

The darkest hour comes just before dawn, remember?
 
Jamani jamani Magufuli kaumiza watu. Haisemeki kiwango cha maumivu kilichopitiwa. Kaumiza watu jamani jamani jamani. Hivi ni kuwa watu hawaelewi au wamelipwa waje kumfanyia kampeni?
Lisu atadhibitiwa kila anapokanyaga! Hatutaki vibaraka hapa nchini
 
Kaona watanzania hata hawana muda naye baada ya kufungiwa akaona aanze vituko walau aonekane anataka watanzania wavunjwe miguu kama yeye .Hapati mtu
Watanzania wa wapi unawasemea? Kwani watanzania unafiki ni wapumbavu kama wewe? Vituko gani kafanya? Lisu hajafanya mkutano wowote yeye ana Safari zake za kutembeleana mashina ya chama acheni ujinga
 
Watanzania wa wapi unawasemea? Kwani watanzania unafiki ni wapumbavu kama wewe? Vituko gani kafanya? Lisu hajafanya mkutano wowote yeye ana Safari zake za kutembeleana mashina ya chama acheni ujinga
Kuzuiwa kampeni ni kuanzia kwenye mashina.Hatakiwi kufanya popote
 
Kwani mimi ni mfuasi wa mzee wa faragha?
 
Picha za ushahidi zinaongezeka bila sababu kwamba huu uchaguzi utavurugwa
 
Hapa ndio Chadema waone kuwa ni makosa ya kiufundi kweli kweli kukubali Lissu kutii lile kosa la kutofanya kampeni siku 7. Ilitakiwa siku ile ile waonyeshe msimamo. Sasa same strategy inafanyika pia kwa wagombea wengine! Watajiteteaje wakati ya mgombea uRais tu walitii!

Hii nchi huyu Jiwe anaipeleka wapi? Mbona ameshupaza shingo hivi? Kwa nini haelewi kuwa huko anakotaka twende wananchi hatupataki? Anaona askari kusimama na mitutu ya bunduki mbele ya raia hivyo ni jambo la kawaida kabisa?
Ni ujinga tu unasumbua watu. Kulazimisha kupendwa na kutawala watu kwa nguvu za dola ni tatizo sana. Kama Taifa hatuwezi kufanikiwa kwa kutawala watu kwa kutumia nguvu.
 
Huo ndio uzalendo wa kitanzania.
Kweli wewe Mpumbavu sana.
Uzalendo wa CCM ni kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani kuiba trilion 1.5 kumtoa CAG kafara kula 10% ununuzi wa Ndege kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ndiyo Uzalendo wa CCM, Uzalendo wa CCM ni Uzalendo haramu wa kishetani
 
Ni ujinga tu unasumbua watu. Kulazimisha kupendwa na kutawala watu kwa nguvu za dola ni tatizo sana. Kama Taifa hatuwezi kufanikiwa kwa kutawala watu kwa kutumia nguvu.
Yaani hata mimi namshangaa huyu Lissu anavyolazimisha kukubalika
 
Walinunua au kuwatishia maisha kuanzia wabunge mpaka madiwani na wehu kama patrobas wakajua chadema ni hao viongozi. CHADEMA ipo ktk mioyo ya watu, ona sasa mnavyo weweseka na bado mutanyang'anya kura sio kuiba kura na hazitawatosha mbuzi nyie.
 
Back
Top Bottom