CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Lissu Rais 2020

THE GOING IS ROUGH AND TOUGH BUT, WE SHALL OVERCOME
1601979478120.png
 
kiki tayari aite waandishi wa habari aseme aliyotaka kusema asisahau kufafanua whitepaper
 
Kwani NEC walisema wamempa kifungo cha ndani kwamba haruhusiwi kutoka nje ya nyumba yake, au alizuiwa asifanye kampeni tu?!

Yeye ni Makamu MwenyekIti anao wajibu mwingine kichama licha ya kuwa mgombea urais, aachwe afanye shughuli za kichama.
 
Naona policcm hawataki nyongeza ya mshahara kama Rais Lissu alivyowaahidi
 
Nimeamini chama dume maji ya shingo. Duh! kila chenye mwanzo kina mwisho.
 
Back
Top Bottom