Usimpangie cha kufanya kipindi yupo kwenye siku saba zake za kusikilizia udhalimu wenu wa kishetani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nmecheka sana,!
Eti anaongea kwa kulegeza sauti,
Sisi tulikuwa tunaenda kukagua soko, na kufungua matawi ya chama,
Yani Lisu leo kawa mkaguzi wa masoko yanayojenhwa na selikali ya JPM?
Ndio maana Uingereza imetuletea balozi aliyekuwa huko Somalia.Kama Somalia vile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtapanic sana!Toa utahira wako, CCM wamejanga Hilo soko? Au polisi?? ficha upumbavu wenu.
Alikuwa anaenda kukagua soko ndiyo polisi wakamuuliza we unaenda kukagua soko gani wewe umelijenga lini. Ndiyo akaanza kujiumauma basi polisi wakamuambia rudi nyumbani kalale. Hawajamgusa popote paleKosa ni nini? Kusafiri au?
Ili aje amuunge mkono Lisu?Ndio maana Uingereza imetuletea balozi aliyekuwa huko Somalia.
Ngoja tukusanyane na magali tuje hapo tumuunge mkono hawezi lala hapo peke yake..tutakesha nae...na wala asiongee chochote ni kuimba tu mpaka asubuhi...Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.
Unayomtakia mwenzako nawe yako njiani usidhani kuna utawala wa kudumu dunia hii.Ameshapata media attention
Ameshapigwa picha
Sasa asubiri kipigo
Walishasahau kuwa Bunge halipo tena.PM hicho cheo hakipo kwani bunge lilishavunjwa tayari kaka anajiita PM huyo majaliwa atakuwa anavunja Sheria na katiba
Kwahiyo kajipa kazi ya kukagua masoko?Usimpangie cha kufanya kipindi yupo kwenye siku saba zake za kusikilizia udhalimu wenu wa kishetani
Kwani soko limejengwa kwa pesa binafsi tokea mfukoni mwa IGP, polepole, mtukufu magufuli na CCM? au ni pesa za walipa kodi? Pesa za umma CCM mnajimilikisha kishetani hata miradi ya umma?Alikuwa anaenda kukagua soko ndiyo polisi wakamuuliza we unaenda kukagua soko gani wewe umelijenga lini. Ndiyo akaanza kujiumauma basi polisi wakamuambia rudi nyumbani kalale. Hawajamgusa popote pale
Fuateni sheria bila shuruti
Mama can't you see the differnce? Don't tell me!!!!!How do you separate the two? It's impossible absolutely.
Kasema alikuwa anaenda kwenye kikao cha ndani pamoja na kukagua soko.Sasa huyo Lisu anasema alikuwa anaenda kukagua soko. Unalijua hilo solo alilojenga Lissu? Kama siyo fujo ni nn hiki?
You look a bit smart with shallow thoughts and day illusions.Alikuwa anaenda kukagua soko ndiyo polisi wakamuuliza we unaenda kukagua soko gani wewe umelijenga lini. Ndiyo akaanza kujiumauma basi polisi wakamuambia rudi nyumbani kalale. Hawajamgusa popote pale
[emoji706][emoji706][emoji706]Kukagua soko? Yeye ni nani mpaka aende kukagua soko?
Ndiyo wote tunajiuliza soko gani hilo alilojengaKasema alikuwa anaenda kwenye kikao cha ndani pamoja na kukagua soko.