CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nmecheka sana,!

Eti anaongea kwa kulegeza sauti,
Sisi tulikuwa tunaenda kukagua soko, na kufungua matawi ya chama,

Yani Lisu leo kawa mkaguzi wa masoko yanayojenhwa na selikali ya JPM?
Usimpangie cha kufanya kipindi yupo kwenye siku saba zake za kusikilizia udhalimu wenu wa kishetani
 
Watamwachia hakuna wa kumkamata Lissu kwa sasa.
 
Toa utahira wako, CCM wamejanga Hilo soko? Au polisi?? ficha upumbavu wenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtapanic sana!

Lisu amekuwa mkaguzi wa masoko yanayojengwa na selikali ya JPM ambayo yeye anaponda kwamba ni maendeleo ya vitu!
 
Kosa ni nini? Kusafiri au?
Alikuwa anaenda kukagua soko ndiyo polisi wakamuuliza we unaenda kukagua soko gani wewe umelijenga lini. Ndiyo akaanza kujiumauma basi polisi wakamuambia rudi nyumbani kalale. Hawajamgusa popote pale
 
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.

Ngoja tukusanyane na magali tuje hapo tumuunge mkono hawezi lala hapo peke yake..tutakesha nae...na wala asiongee chochote ni kuimba tu mpaka asubuhi...
 
Kumbe mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ana mamlaka ya kumhukumu mgombea 'HOUSE ARREST'!!?
🤔🤔🤔🔥
 
Usimpangie cha kufanya kipindi yupo kwenye siku saba zake za kusikilizia udhalimu wenu wa kishetani
Kwahiyo kajipa kazi ya kukagua masoko?

Mwambie asubiri JPM aapishwe atampa hiyo kazi maana alimuahidi akiwa kule Singida.
 
Alikuwa anaenda kukagua soko ndiyo polisi wakamuuliza we unaenda kukagua soko gani wewe umelijenga lini. Ndiyo akaanza kujiumauma basi polisi wakamuambia rudi nyumbani kalale. Hawajamgusa popote pale
Kwani soko limejengwa kwa pesa binafsi tokea mfukoni mwa IGP, polepole, mtukufu magufuli na CCM? au ni pesa za walipa kodi? Pesa za umma CCM mnajimilikisha kishetani hata miradi ya umma?
 
Katika kipindi hiki cha cha uchaguzi, mafanikio ya vyama vya siasa na wananchi kwa ujumla wake yatafikiwa kwa kufanya political action. Ni makosa makubwa kufikiria kuwa nchi yetu itarudi kwenye mstari wa kuheshimu sheria, kuheshimu misingi ya demokrasia, kuheshimu utawala bora na kuheshimu haki za raia kwa kupeleka masuala ya kisiasa mahakamani.

Hii ni kwa kuwa kuna mhimili mmoja umejichimbia chini kiasi kwamba una-influence kila kinachofanyika kwenye mihimili mingine. Kwa hiyo, wadau wa siasa na wanasiasa nawaambieni kuwa Lissu yupo sahihi kuhimiza political action katika kutatua shida zinazoletwa na utawala usioheshimu sheria na utawara bora.
 
Alikuwa anaenda kukagua soko ndiyo polisi wakamuuliza we unaenda kukagua soko gani wewe umelijenga lini. Ndiyo akaanza kujiumauma basi polisi wakamuambia rudi nyumbani kalale. Hawajamgusa popote pale
You look a bit smart with shallow thoughts and day illusions.
 
Back
Top Bottom