[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hilo soko kajenga yeye?Kasema alikuwa anaenda kwenye kikao cha ndani pamoja na kukagua soko.
Anayetakiwa kufuata Sheria ni yupi hapo .Fuateni sheria bila shuruti
Kwanini aliwajibu hilo swali? Kwani tunahitaji sababu kusafiri?Alikuwa anaenda kukagua soko ndiyo polisi wakamuuliza we unaenda kukagua soko gani wewe umelijenga lini. Ndiyo akaanza kujiumauma basi polisi wakamuambia rudi nyumbani kalale. Hawajamgusa popote pale
Sheria ipi inasema kuwa ili makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani akague soko ni lazima awe amelijenga yeye?Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?Ndiyo wote tunajiuliza soko gani hilo alilojenga
Kwanza hao waliovaa nguo za kipolisi wanaweza kuwa ni green guards wa pale lumumba.Lissu kila anachofanya ni kampeni ndio maana magufuli mwoga sana. Na sasa kampeni tena imefufuka kwa kumtumia Lundo la wanajeshi. Hizo footage zinaendelea kuwa ushahidi kwa taifa na mataifa.
Nadhani kuna vikosi vinamhujum Jpm bila yeye kujua.
Anza na kile wewe unasema sheria haijavunjwa. Unadhani sheria inatafsiriwa kihuni kama anavyotafsiri Tundu. Si aliwadanganya anaendelea na kampeni Jumapili kwani hajavunja sheria. Mbona alitiii? Angeendelea uone kama Charles Mahera asingemfuta kwenye list ya wagombea. Tatizo lenu mnajazwa upepo na TUNDU linalojifanya much know (kujua sana) wa sheria kumbe ujinga tu na ukaidi.Unajua kutii sheria wewe? Ok fine niambie ni WAP Sheria imevunjwa hapo.
hakuulizwa izo porojo tu za bashiteKwanini aliwajibu hilo swali? Kwani tunahitaji sababu kusafiri?
Sheria ipi inasema kuwa ili makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani akague soko ni lazima awe amelijenga yeye?Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?Unaona jinsi ulivyo na akili fupi na ndiyo maana nimekukataza usiquote comment zangu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hilo soko kajenga yeye?
Watu wametulia kwenye soko limejengwa chini ya jemedari Magu, wanajifanyia biashara zao yeye anaenda kukagua?
Anakagua kitu gani kwanza kawa msimamizi wa ujenzi?
Au yeye ni mkuu wa wilaya?
Kwani hata CCM wamejenga wao? Kwani soko limejengwa kwa pesa binafsi za Bashiru?Sheria ipi inasema kuwa ili makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani akague soko ni lazima awe amelijenga yeye?
Niko hapa Kiluvya. Watu wamejaa sana. Kila mmoja anailaani CCM. Hii ni kampeni tosha kwa Lissu. Yaani mwaka huu Meko atapata shida sana.Ndiyo wote tunajiuliza soko gani hilo alilojenga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Majengo hayo yana wasimamizi wake chini ya halmashauri husika,! Yeye ni nani?Sheria ipi inasema kuwa ili makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani akague soko ni lazima awe amelijenga yeye?
Kwa hiyo hiyo nayo ni kampeni, hamjui kuwa mivutano na dola inaashiria nini kabla na baadaya uchaguzi. Subirini kuanzia sasa na baada ya uchaguzi utajioneaAsanteni sana Jeshi la polisi kumpa promo Lissu. Nimesikia kiredio cha mtaani wakisema breaking news, wanafatilia kutoa taarifa ya sababu kuzuiliwa kwa msafara wa Lissu.
Akague soko ye kama nani bwana. Kwahiyo angekuta limejengwa chini ya kiwango angeenda kuripoti kwa nani hatua zichukuliwe dhidi ya mkandarasi?Sheria ipi inasema kuwa ili makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani akague soko ni lazima awe amelijenga yeye?
Kuna ufisadi hapo na kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ya kifisadi ya CCM iliyojaa vitendo haramu ya kishetani, mmemzuia kwenda sokoni kwa kuwa kuna wizi ufisadi hapo mmeogopa ataibua wizi wenu wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa yeye ni msimamizi wa majengo mpaka anaenda kukagua hilo soko?
Au alikuwa anaenda kukagua kitu gani?
Hamna kitu hapo,Watu wanazidi kujaa tu hapa Kiluvya, kwahiyo ni kampeni tosha kwani kila mmoja anailaani CCM tu.