CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Kasema alikuwa anaenda kwenye kikao cha ndani pamoja na kukagua soko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hilo soko kajenga yeye?

Watu wametulia kwenye soko limejengwa chini ya jemedari Magu, wanajifanyia biashara zao yeye anaenda kukagua?
Anakagua kitu gani kwanza kawa msimamizi wa ujenzi?
Au yeye ni mkuu wa wilaya?
 
Watu wanazidi kujaa tu hapa Kiluvya, kwahiyo ni kampeni tosha kwani kila mmoja anailaani CCM tu.
 
Alikuwa anaenda kukagua soko ndiyo polisi wakamuuliza we unaenda kukagua soko gani wewe umelijenga lini. Ndiyo akaanza kujiumauma basi polisi wakamuambia rudi nyumbani kalale. Hawajamgusa popote pale
Kwanini aliwajibu hilo swali? Kwani tunahitaji sababu kusafiri?
 
Ndiyo wote tunajiuliza soko gani hilo alilojenga
Sheria ipi inasema kuwa ili makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani akague soko ni lazima awe amelijenga yeye?Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?
 
Asanteni sana Jeshi la polisi kumpa promo Lissu. Nimesikia kiredio cha mtaani wakisema breaking news, wanafatilia kutoa taarifa ya sababu kuzuiliwa kwa msafara wa Lissu.
 
Lissu kila anachofanya ni kampeni ndio maana magufuli mwoga sana. Na sasa kampeni tena imefufuka kwa kumtumia Lundo la wanajeshi. Hizo footage zinaendelea kuwa ushahidi kwa taifa na mataifa.

Nadhani kuna vikosi vinamhujum Jpm bila yeye kujua.
Kwanza hao waliovaa nguo za kipolisi wanaweza kuwa ni green guards wa pale lumumba.
 
Unajua kutii sheria wewe? Ok fine niambie ni WAP Sheria imevunjwa hapo.
Anza na kile wewe unasema sheria haijavunjwa. Unadhani sheria inatafsiriwa kihuni kama anavyotafsiri Tundu. Si aliwadanganya anaendelea na kampeni Jumapili kwani hajavunja sheria. Mbona alitiii? Angeendelea uone kama Charles Mahera asingemfuta kwenye list ya wagombea. Tatizo lenu mnajazwa upepo na TUNDU linalojifanya much know (kujua sana) wa sheria kumbe ujinga tu na ukaidi.
 
Hivyo amsha amsha ya Tindu Lissu ni lazima katika kurudisha nchi yetu kwenye nafasi yake ya kuwa nchi ya asali na maziwa inayoheshima utu wa ubinadamu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hilo soko kajenga yeye?

Watu wametulia kwenye soko limejengwa chini ya jemedari Magu, wanajifanyia biashara zao yeye anaenda kukagua?
Anakagua kitu gani kwanza kawa msimamizi wa ujenzi?
Au yeye ni mkuu wa wilaya?
Sheria ipi inasema kuwa ili makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani akague soko ni lazima awe amelijenga yeye?Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?Unaona jinsi ulivyo na akili fupi na ndiyo maana nimekukataza usiquote comment zangu?
 
Huyu Mwamba kawashika pabaya sana ccm! Tume, polisi na 'miwani nyeusi' wameamua kuingia rasmi kazini kama Jumuia za ccm ili kuiokoa!
 
Sheria ipi inasema kuwa ili makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani akague soko ni lazima awe amelijenga yeye?
Kwani hata CCM wamejenga wao? Kwani soko limejengwa kwa pesa binafsi za Bashiru?
 
Sheria ipi inasema kuwa ili makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani akague soko ni lazima awe amelijenga yeye?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Majengo hayo yana wasimamizi wake chini ya halmashauri husika,! Yeye ni nani?

Kwa hiyo alienda kuangalia kama wamejnga vizuri kama ilivyoagizwa ama?
 
Asanteni sana Jeshi la polisi kumpa promo Lissu. Nimesikia kiredio cha mtaani wakisema breaking news, wanafatilia kutoa taarifa ya sababu kuzuiliwa kwa msafara wa Lissu.
Kwa hiyo hiyo nayo ni kampeni, hamjui kuwa mivutano na dola inaashiria nini kabla na baadaya uchaguzi. Subirini kuanzia sasa na baada ya uchaguzi utajionea
 
Sheria ipi inasema kuwa ili makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani akague soko ni lazima awe amelijenga yeye?
Akague soko ye kama nani bwana. Kwahiyo angekuta limejengwa chini ya kiwango angeenda kuripoti kwa nani hatua zichukuliwe dhidi ya mkandarasi?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa yeye ni msimamizi wa majengo mpaka anaenda kukagua hilo soko?

Au alikuwa anaenda kukagua kitu gani?
Kuna ufisadi hapo na kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ya kifisadi ya CCM iliyojaa vitendo haramu ya kishetani, mmemzuia kwenda sokoni kwa kuwa kuna wizi ufisadi hapo mmeogopa ataibua wizi wenu wote
 
Kwa kufanya hivyo tu Jiwe anampaisha Lissu kinomaa,nadhani bado pamoja na kwamba refarii ni wa kwake lakini imekuwa ngumu kwake na kocha wake kuusoma mchezo wa timu pinzani bunduki zote za nini?

Halafu mnatuimbisha amani hivi tangu lini Lissu kazuiwa kusafiri au kutembelea majimbo kama makamu mwenyekiti?
 
Back
Top Bottom