BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii ni mpya toka kwa Lisu,Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?Unaelewa kuwa ni haki ya wenyeviti pamoja na makamu wenyeviti wa vyama vya siasa kukagua na kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali ya wananchi inayosimamiwa na serekali inayotokana na kodi za wananchi?
Msifanye serikali ni tahira - serikali inajua unawaza nini, hivyo msijifanye mna akili kuliko wengine! Mipango mkipanga zaidi ya mtu mmoja, ujue mwenzako ni serikali.Jane Lowassa,
Unaweza kufafanua kidogo fujo zipi hasa unazungumzia Jane Lowassa maana yuko Njiani kazuiliwa, wamemkuta haongei na mtu, hapigani na mtu.
Kwahiyo anaenda kufanya nini hapo sokoni?Tundu hafanyi kampeni tayari ameheshimu maamuzi ya hiyo kamati, kaenda sokoni baada ya kupewa taarifa kuwa kuna ufisadi mkubwa
Vyovyote, mbona watu hawajaingia barabarani?Jane Lowassa,
Kwani kaambiwa asifanye kampeni kwa siku 7 au kaambiwa ASISAFIRI kikazi (shughuli za chama) kwa siku 7?
Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Jamaa amesema hatoki barabarani kama ni kulala atalala hapohapo road,jiwe amekutana na nyundo ya kupasulia mawe hapo sijui itakuaje.Acha kua shabiki maandazi.. njoo na sababu za msingi za kumzuia. Watu wa design yako ni hewa sana
Kwani soko ni mali ya mtu?Kila siku anaponda kwamba hayo ni maendeleo ya vitu,
Leo eti anaenda kukagua soko!
Chadema ndio ilijenga hilo soko? Yeye ni nani kwenye hilo eneo mpaka useme unaenda kukagua?
Huyu mzee wa faragha vipi?
Kampeni sasa wanafanya mapolisi wao.Mwamba ni Noma nguvu yake usipime.
Wewe ni debe tupu kichwani,hujui sheria yeyote.Imagine huwa unakuja hapa kupayuka tu wakati hujui chochote.Unaelewa kuwa Wenyeviti pamoja na makamu wenyeviti wa vyama vya siasa wanayo haki kisheria ya kukagua na kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali inayosimamiwa na serekali?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii ni mpya toka kwa Lisu,
Tulionya tukapuuzwaMaji yamemfika shingoni sasa, hakuwahi kutarajia kama kungekua na upinzani wa namna hii baada ya kuwanunua baadhi ya Wabunge kwa mafungu. Tutafika tu.
Vyombo vyote vikubwa vya kimataifa vinatangaza jambo hiliFanyeni kumzuia ili mumpe umaarufu..".hii ni opportunity ".mlindeni sasa. .
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kitimoto, Msiba au kuona Mgonjwa Vyote hivyo umeona ujibu Kitimoto Pekee?? Mdau hapo ameweka List of Possible Events ambazo huenda zimempeleka; Achilia mbali kwamba Yeye hajazuiliwa Kusafiri, amezuiliwa Kampeni.Ina maana alipotoka hamna kitimoto? Acheni sababu za uongo nyie magwanda. Huyo mgombea wenu lazima ajifunze kutii mamlaka; otherwise, tutamnyoosha hadi ashike adabu.
Si kweliHujui anawakilisha umma?