CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Mwamba kapigwa pin na hamna aliekwisha ingia barabarani hadi muda huu😀😀. Aache janja janja afate maagizo ya tume otherwise hatoweza kwenda kokote hadi siku 7 ziishe.
 
Unaelewa kuwa masoko yanajengwa na kodi za wananchi wote na wala siyo hela ya Magufuli?Unaelewa kuwa ni haki ya wenyeviti pamoja na makamu wenyeviti wa vyama vya siasa kukagua na kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali ya wananchi inayosimamiwa na serekali inayotokana na kodi za wananchi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii ni mpya toka kwa Lisu,
 
Wanufaika wa wizi wa pesa za umma, wanufaika wa ufisadi wa soko ndiyo wapo busy kupinga ujio wa Lisu hapo sokoni kwa hofu ya kuumbuka
 
Acha kua shabiki maandazi.. njoo na sababu za msingi za kumzuia. Watu wa design yako ni hewa sana
Jamaa amesema hatoki barabarani kama ni kulala atalala hapohapo road,jiwe amekutana na nyundo ya kupasulia mawe hapo sijui itakuaje.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii ni mpya toka kwa Lisu,
Wewe ni debe tupu kichwani,hujui sheria yeyote.Imagine huwa unakuja hapa kupayuka tu wakati hujui chochote.Unaelewa kuwa Wenyeviti pamoja na makamu wenyeviti wa vyama vya siasa wanayo haki kisheria ya kukagua na kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali inayosimamiwa na serekali?
 
Hatimaye naona mkubwa ameendelea na mikutano ya ndani baada y purukushani na polisi.
Kweli ni Yeye2020

20201006_151557.jpg
20201006_151544.jpg
20201006_151536.jpg
 
Ndugu zangu, zaidi ya mwezi+ sasa tupo nyuma ya key boards tunaandika kumsapoti Lissu tena kwa uchungu sana. Kwanini leo tusihamasishane kukutana pale Kibaha sokoni aliposema analala hapo leo, kesho na hata keshokutwa ili tumpe support ya nguvu?
 
Ina maana alipotoka hamna kitimoto? Acheni sababu za uongo nyie magwanda. Huyo mgombea wenu lazima ajifunze kutii mamlaka; otherwise, tutamnyoosha hadi ashike adabu.
Kitimoto, Msiba au kuona Mgonjwa Vyote hivyo umeona ujibu Kitimoto Pekee?? Mdau hapo ameweka List of Possible Events ambazo huenda zimempeleka; Achilia mbali kwamba Yeye hajazuiliwa Kusafiri, amezuiliwa Kampeni.
 
Back
Top Bottom