fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Mimi kama mimi lazima nitakuwepo.Ndugu zangu, zaidi ya mwezi+ sasa tupo nyuma ya key boards tunaandika kumsapoti Lissu tena kwa uchungu sana. Kwanini leo tusihamasishane kukutana pale Kibaha sokoni aliposema analala hapo leo, kesho na hata keshokutwa ili tumpe support ya nguvu?