CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Ndugu zangu, zaidi ya mwezi+ sasa tupo nyuma ya key boards tunaandika kumsapoti Lissu tena kwa uchungu sana. Kwanini leo tusihamasishane kukutana pale Kibaha sokoni aliposema analala hapo leo, kesho na hata keshokutwa ili tumpe support ya nguvu?
Mimi kama mimi lazima nitakuwepo.
 
Mwacheni alale hapo si ameomba eti taarifa zisambazwe kote duniani ili asikie beberu aliyemtuma! Subiri sasa.
 
Wewe ni debe tupu kichwani,hujui sheria yeyote.Imagine huwa unakuja hapa kupayuka tu wakati hujui chochote.Unaelewa kuwa Wenyeviti pamoja na makamu wenyeviti wa vyama vya siasa wanayo haki kisheria ya kukagua na kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali inayosimamiwa na serekali?
Usijifanye mjuaji kama huyo mtu wenu kibaraka,

Hebu weka hapa hiyo sheria
 
Usijifanye mjuaji kama huyo mtu wenu kibaraka,

Hebu weka hapa hiyo sheria
Yaani wewe kuwa debe tupu kichwani inipelekee mimi kuwa na wajibu pamoja na homework ya kukuwekea vifungu vya sheria kwenye masuala yanayotokea kwenye nchi yetu?!
 
Yaani wewe kuwa debe tupu kichwani inipelekee mimi kuwa na wajibu pamoja na homework ya kukuwekea vifungu vya sheria kwenye masuala yanayotokea kwenye nchi yetu?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa nitajuaje hizo sheria kama wewe mwenye akili hunielimishi ili nije nmpigie Lisu kura?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa nitajuaje hizo sheria kama wewe mwenye akili hunielimishi ili nije nmpigie Lisu kura?
Kwa nini nikuelimishe umpigie Lissu kura na wala siyo Magufuli?
 
Hujui historia , umekaririshwa Mandela alitoka gerezani hai.
Tumia akili yako kujua Mandela alifia wapi ? Na alipokufa nani alivalishwa sura ya Mandela. Na alitolewa gerezani ama alizikwa wapi?
Kwa nini Winnie Mandela alikataa kulala na kivuli cha Mandela ?
Hujiulizi na kuona kifo cha Mandela fake na Mandela original ni tofauti?
Endelea kulishwa matango pori na Lisu wako.
Unasema?????😂😂😂😂😂😂
Kweli lumumba mmejaa mabumunda
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom