Mimi kama mimi lazima nitakuwepo.Ndugu zangu, zaidi ya mwezi+ sasa tupo nyuma ya key boards tunaandika kumsapoti Lissu tena kwa uchungu sana. Kwanini leo tusihamasishane kukutana pale Kibaha sokoni aliposema analala hapo leo, kesho na hata keshokutwa ili tumpe support ya nguvu?
Lissu anapambana kwa kila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake Ubelgiji akatulie zake.
Sheria inasemaje akitaka kwenda kibaha kwa mchepuko wake. Tueleweshe bwana mkubwa tufanyeje?Fuateni sheria bila shuruti
Katika watu wajinga duniani wakwanza ni Ww sasa hapo Lissu kafanya fujo gani nahuyo anasafari yake kama watu wengine wakiwa na safari zaoLissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Lazima? Wewe kama naniLissu lazima awe Rais wa nchi hii
Ratiba yake inaonesha anatakiwa kuwa wapi leo? Msilaumu ukute kavunja sheria
Kwahiyo raiya wa nchi hii hana hali ya kutembeaMwambieni ajifunze kutii sheria bila shuruti. Nothing less nothing more.
Usijifanye mjuaji kama huyo mtu wenu kibaraka,Wewe ni debe tupu kichwani,hujui sheria yeyote.Imagine huwa unakuja hapa kupayuka tu wakati hujui chochote.Unaelewa kuwa Wenyeviti pamoja na makamu wenyeviti wa vyama vya siasa wanayo haki kisheria ya kukagua na kuangalia maendeleo ya miradi mbalimbali inayosimamiwa na serekali?
Sasa sokoni alitaka akafanye nini?Hatimaye naona mkubwa ameendelea na mikutano ya ndani baada y purukushani na polisi.
Kweli ni Yeye2020
Yaani wewe kuwa debe tupu kichwani inipelekee mimi kuwa na wajibu pamoja na homework ya kukuwekea vifungu vya sheria kwenye masuala yanayotokea kwenye nchi yetu?!Usijifanye mjuaji kama huyo mtu wenu kibaraka,
Hebu weka hapa hiyo sheria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa nitajuaje hizo sheria kama wewe mwenye akili hunielimishi ili nije nmpigie Lisu kura?Yaani wewe kuwa debe tupu kichwani inipelekee mimi kuwa na wajibu pamoja na homework ya kukuwekea vifungu vya sheria kwenye masuala yanayotokea kwenye nchi yetu?!
Fuateni sheria bila shuruti
Wanamuongezea umaarufuJeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.
Kwa nini nikuelimishe umpigie Lissu kura na wala siyo Magufuli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa nitajuaje hizo sheria kama wewe mwenye akili hunielimishi ili nije nmpigie Lisu kura?
Akikujibu kwa kifungu cha sheria Nitag please!!Sheria ipi amevunja kwenye hilo tukio?
Unasema?????ππππππHujui historia , umekaririshwa Mandela alitoka gerezani hai.
Tumia akili yako kujua Mandela alifia wapi ? Na alipokufa nani alivalishwa sura ya Mandela. Na alitolewa gerezani ama alizikwa wapi?
Kwa nini Winnie Mandela alikataa kulala na kivuli cha Mandela ?
Hujiulizi na kuona kifo cha Mandela fake na Mandela original ni tofauti?
Endelea kulishwa matango pori na Lisu wako.
Tuko njiani kuja kuungana na Mh Lissu. Uonevu sasa basi!! Mtuue wote sasa!!Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.