CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
NI mahakama ipi imemtia hatiani Lissu kua asisafiri sehemu yoyote?
Ata kama sisi niwa makada...ebu tujaribu kutumia basi akili kidogo.
 
Mnahubiri kuhusu haki na Uhuru kila kukicha na licha ya kuwa na kiongozi mwanasheria ila ndo anaongoza kwa kuvunja sheria
 
NI mahakama ipi imemtia hatiani Lissu kua asisafiri sehemu yoyote?
Ata kama sisi niwa makada...ebu tujaribu kutumia basi akili kidogo.
Anasema anaenda kukagua soko kibaha kama nani? Na chadema haiamini kwenye maendeleo ya vitu

Lisu hakuja Tanzania kugombea kaja tu kuleta vurugu na kutimkia ubelgiji angekuwa kaja kugombea saa hii angekuwa maeneo kibao akinadi Sera na hakuna ambaye angehakaika naye Lisu anatafuta kila opportunity ya kuanzisha vurugu sema watanzania huko hatuko amani kwetu muhimu kuliko kitu chochote tuko tayari kukosa kila kitu ila tubaki na amani huko kwenye vurugu asitegemee support ya wananchi .Kwenye kura hawana shida lakini vurugu no no no

Tume ya uchaguzi mwondoeni tu wala msiogope au mwingezeeni adhabu ya siku 14 zingine
 
BREAKING NEWS
LISSU , MBOWE HALI SI SHWALI CHADEMA

Habari kutoka vyanzo vya ndani zinaeleza kuwa mambo sio shwari ndani ya CHADEMA kufuatia Mwenyekiti Freeman Mbowe kushawishi Kamati Kuu ikubali hukumu ya Kamati ya Maadili kinyume na mapendekezo ya Lissu aliyetaka CHADEMA isikubaliane na itangaze mgogoro.

Wadadisi wa mambo wanadai kuwa chama hicho kwasasa kinasumbuliwa na mambo mawili; kwanza ni Mbowe anahofia umaarufu wa Lissu kwa upande mmoja na Lissu kutokumuamini Mbowe kwa upande wa pili kiasi ameshindwa kumweleza wadau wa nje wanaoleta pesa za kampeni ni akina nani kitu ambacho Mbowe anaona nikama anazungukwa kama Mwenyekiti.

KIBARUA KIMEANZA KUOTA NYASI[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Kama hiki ni kipindi cha kampeni na hakuna shughuli nyingine, ilikuwaje Museveni na Ndayishimie ambao ni marais wa nchi nyingine kuja kumuombea Magufuli kura hapa nchini?
Magufuli no Rais wa nchi uwe unaelewa wewe. Serikali haiendi likizo ndiyo maana hata. wewe unapata amani ya kupost. Bila Magufuli, usingekaa kwa aman
 
Hili na Mimi nilijua kuwa litatokea. Ngoja wazikane wao kwa wao
 
MH LISSU HAKUNA KUONDOKA HAPO. LEO
Wakikojoa au kujisaidia hapo sheria inachukua mkondo wake hapo hakuna vyoo vya umma .Kumwaga mkojo tu kwenye barabara polisi wataondoka na MTU

Pili kukaa hapo ni mkusanyiko usio halali wageuze warudi walikotoka chap chap kabla hajaanza kunyofolewa mmoja mmoja na Polisi.
 
Sisi ni faida wanapomtangaza tu wamemzuia kufanya kampeni then wanamfanyia
 
Taariri Squer inaanzia hapo mpaka kieleweke , Uchaguzi huu ni uchaguzi wa muhimu kuliko chaguzi chaguzi nyingine zote zilizowahi kufanyika hapo kabla.
 
Mkuu Lisu akitaka kwenda kukagua soko kama nani?
 
POLE sana,
Wee ndio kama mafarisayo, umekaririshwa porojo vichekesho. Ninaijua historia vizuri sana na sina wasiwasi kwa hilo.
Akili za kuambiwa changanya zako kinyume chake, ndio maana unatia huruma sana.
Historia imeshathibitisha kuwa, duniani mbinu za ukandamizaji na ubabaishaji hudumu kwa muda mfupi TU pamoja na kutegemea ubabe.
Na huo wa kwenu kama ule wa SA umefika mwisho, na hata kama hupendi kama makaburu wenzenu, hautalipa.
Mmejitahidi sana kuzusha na kubumba porojo nyingi kuhusu watu wenye UZALENDO wa kweli na vyama vyao, sasa hivi mechokwa.
Hamtaweza kuzuia mapenzi ya kweli kwa wananchi ambao wanateseka kwenye nchi yao, kwa hadithi za madaraja na midege isiyoleta nafuu katika maisha yao. Hata watoto wa chekechea huzichoka pipi za ahadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…