NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Elselvador.Upo nchi gani wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elselvador.Upo nchi gani wewe?
NI mahakama ipi imemtia hatiani Lissu kua asisafiri sehemu yoyote?Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Ndio maana sio weweNingekuwa Mkuu wa Kikosi ningetoa oda kushambulia , ...
Anasema anaenda kukagua soko kibaha kama nani? Na chadema haiamini kwenye maendeleo ya vituNI mahakama ipi imemtia hatiani Lissu kua asisafiri sehemu yoyote?
Ata kama sisi niwa makada...ebu tujaribu kutumia basi akili kidogo.
Magufuli no Rais wa nchi uwe unaelewa wewe. Serikali haiendi likizo ndiyo maana hata. wewe unapata amani ya kupost. Bila Magufuli, usingekaa kwa amanKama hiki ni kipindi cha kampeni na hakuna shughuli nyingine, ilikuwaje Museveni na Ndayishimie ambao ni marais wa nchi nyingine kuja kumuombea Magufuli kura hapa nchini?
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.
Hili na Mimi nilijua kuwa litatokea. Ngoja wazikane wao kwa waoBREAKING NEWS
LISSU , MBOWE HALI SI SHWALI CHADEMA
Habari kutoka vyanzo vya ndani zinaeleza kuwa mambo sio shwari ndani ya CHADEMA kufuatia Mwenyekiti Freeman Mbowe kushawishi Kamati Kuu ikubali hukumu ya Kamati ya Maadili kinyume na mapendekezo ya Lissu aliyetaka CHADEMA isikubaliane na itangaze mgogoro.
Wadadisi wa mambo wanadai kuwa chama hicho kwasasa kinasumbuliwa na mambo mawili; kwanza ni Mbowe anahofia umaarufu wa Lissu kwa upande mmoja na Lissu kutokumuamini Mbowe kwa upande wa pili kiasi ameshindwa kumweleza wadau wa nje wanaoleta pesa za kampeni ni akina nani kitu ambacho Mbowe anaona nikama anazungukwa kama Mwenyekiti.
KIBARUA KIMEANZA KUOTA NYASI[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
katafune ukoo wakoLissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Wakikojoa au kujisaidia hapo sheria inachukua mkondo wake hapo hakuna vyoo vya umma .Kumwaga mkojo tu kwenye barabara polisi wataondoka na MTUMH LISSU HAKUNA KUONDOKA HAPO. LEO
Mkuu Lisu akitaka kwenda kukagua soko kama nani?Kwani hilo soko ni la ccm? Sio wamtoe, Magufuli ameshaagiza atolewe maana Magufuli hana uwezo wa kushindana kwa box la kura. Wakimtoa Tundu Lisu nitacheka kwa nguvu, maana nilijua toka mwanzo kuwa Magufuli na ccm hawana uwezo wa kushindana kupitia box la kura. Ushahidi ni chaguzi zote za marudio toka Magufuli kawa rais, na uchaguzi wa SM.
POLE sana,Hujui historia , umekaririshwa Mandela alitoka gerezani hai.
Tumia akili yako kujua Mandela alifia wapi ? Na alipokufa nani alivalishwa sura ya Mandela. Na alitolewa gerezani ama alizikwa wapi?
Kwa nini Winnie Mandela alikataa kulala na kivuli cha Mandela ?
Hujiulizi na kuona kifo cha Mandela fake na Mandela original ni tofauti?
Endelea kulishwa matango pori na Lisu wako.
Basi hii nchi ni ya kishamba mno.Magufuli no Rais wa nchi uwe unaelewa wewe. Serikali haiendi likizo ndiyo maana hata. wewe unapata amani ya kupost. Bila Magufuli, usingekaa kwa aman
Ushindi unakaribia
Mtaji sajili sana 21/09/2020Hakuna aliyejuu ya sheria
Mjifunze kutii sheria bila shuruti
Nenda kakae SomaliaBasi hii nchi ni ya kishamba mno.