CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Any updates..?

Mhe. Tundu Lissu alisema atalala hapo hapo leo...
 
Sasa akishinda jamii forum we inakuhusu nini?
Au ulitaka ashinde na wewe ghetto akikupekecha?
Hivi huko Uvccm mna funza kichwani?
Naona umerudi kwa ID nyingine tajiri wa JF. Nyie ni vilaza tu, narudia hakuna tajiri anayeshinda mitandaoni masaa 24 duniani. Hayupo.
 
Polisi wamesema watalala nae hapo hapo
Ndio kazi yao kukesha kuhakikisha nchi inakuwa na amani

Mikakati ya vurugu kuvuruga uchaguzi mkuu ilipangwa ikafanyike Kibaha wakikimbia Dar kuwa mimacho iko mingi wakajichimbie Kibaha ambako Raia wa nje pia wangehudhuria huo mkutano wa ndani wa Siri .Raia wema wakaitonya Polisi
 
Ungese ndio huo unaoongea wewe unafikiri wote ni wajinga, mwache alale hapo barabarani. Watanzania sio wajinga. Nenda kamsaidie sasa, unafikiri mipango yake haijulikani? Nchi ipo macho, ulitaka waje wakutafute wewe wakupe sababu?

Wewe ni zwazwa tu ndo maana unaandika kwa na wino mwekundu!! Inaonekana kabisa hujiamini, joga, jinga na unatumiwa na CCM kama Toilet paper tu!!!!
Wewe mbona tayari ni mmoja wa WATANZANIA Wajinga? Watanzania wenye akili hawawezi kutetea ujinga, upumbavu, ungese na uhuni wanaomfanyia Polisi Mgombea wa Urais Mhe. Tundu Lissu! God is just watching from a distance, the whole World is watching, UN is watching, EEU is just watching......!!! Just stay tuned!
 
Tahira kwenye ubora wako
 
Natamani sana Mike Pompeo atutangazie MTU mwengine ambaye amezuiwa kukanyaga Marekani pamoja na familia yake, kama yule wa January 31.
 
Let them continue to watch. We are not going to be used by your masters. Endelea kuwaabudu hao wajinga siku ukizinduka utakuwa umechelewa kama ulivyochelewa hapa.
 
Natamani sana Mike Pompeo atutangazie MTU mwengine ambaye amezuiwa kukanyaga Marekani pamoja na familia yake, kama yule wa January 31.
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mwenye shida ya kwenda USA ni wewe taahira.
 
Natamani sana Mike Pompeo atutangazie MTU mwengine ambaye amezuiwa kukanyaga Marekani pamoja na familia yake, kama yule wa January 31.
Huyu mwingine wala hana mpango wa kwenda USA labda hayo mahela waliomfichia huko.
 
Nimeamini kuwa safari ya ukombozi haijawahi kuwa kitu cha overnight, ni ndefu kweli kweli. Lissu atatuvusha Watanzania tusifanye Makosa trh 28.10

Kuzungumzia Amani bila kutanguliwa na Haki ni jambo lisilowezekana.
Safari ya ukombozi? Kweli ukipenda chongo utaona kengeza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…