Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Wewe pamoja na vibaka wenzio.Nani aone sasa....!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe pamoja na vibaka wenzio.Nani aone sasa....!?
Kwahiyo?91 posts since you joined! phew khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Walisha ondoka washamba wale Lissu alisha agiza chakula kabisaAny updates..?
Mhe. Tundu Lissu alisema atalala hapo hapo leo...
Naona umerudi kwa ID nyingine tajiri wa JF. Nyie ni vilaza tu, narudia hakuna tajiri anayeshinda mitandaoni masaa 24 duniani. Hayupo.Sasa akishinda jamii forum we inakuhusu nini?
Au ulitaka ashinde na wewe ghetto akikupekecha?
Hivi huko Uvccm mna funza kichwani?
You are an imbecile.Kwahiyo?
Kwani siku hizi kumetungwa sheria ya nani atembelee soko na nani asitembelee?Usiwe mjinga! Kutembelea yeye kama nani?
Ndio kazi yao kukesha kuhakikisha nchi inakuwa na amaniPolisi wamesema watalala nae hapo hapo
Ungese ndio huo unaoongea wewe unafikiri wote ni wajinga, mwache alale hapo barabarani. Watanzania sio wajinga. Nenda kamsaidie sasa, unafikiri mipango yake haijulikani? Nchi ipo macho, ulitaka waje wakutafute wewe wakupe sababu?
Tahira kwenye ubora wakoUngese ndio huo unaoongea wewe unafikiri wote ni wajinga, mwache alale hapo barabarani. Watanzania sio wajinga. Nenda kamsaidie sasa, unafikiri mipango yake haijulikani? Nchi ipo macho, ulitaka waje wakutafute wewe wakupe sababu?
If you knew the authority is fake, why did you participate in the first place?
Umetepeta unalia lia sasaYou are an imbecile.
Let them continue to watch. We are not going to be used by your masters. Endelea kuwaabudu hao wajinga siku ukizinduka utakuwa umechelewa kama ulivyochelewa hapa.Wewe ni zwazwa tu ndo maana unaandika kwa na wino mwekundu!! Inaonekana kabisa hujiamini, joga, jinga na unatumiwa na CCM kama Toilet paper tu!!!!
Wewe mbona tayari ni mmoja wa WATANZANIA Wajinga? Watanzania wenye akili hawawezi kutetea ujinga, upumbavu, ungese na uhuni wanaomfanyia Polisi Mgombea wa Urais Mhe. Tundu Lissu! God is just watching from a distance, the whole World is watching, UN watching, EEU is just watching......!!!
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mwenye shida ya kwenda USA ni wewe taahira.Natamani sana Mike Pompeo atutangazie MTU mwengine ambaye amezuiwa kukanyaga Marekani pamoja na familia yake, kama yule wa January 31.
Huyu mwingine wala hana mpango wa kwenda USA labda hayo mahela waliomfichia huko.Natamani sana Mike Pompeo atutangazie MTU mwengine ambaye amezuiwa kukanyaga Marekani pamoja na familia yake, kama yule wa January 31.
Una tatizo la EpidomeaYou are an imbecile.
Wamjua wewe huyoMbona ya huyo aliyepiga magoti kabla ya magufuli hujamsema?
Ficha kidogo ujinga wako!!Hao polisi walikuwa kwenye msafara wa waziri mkuu sasa kama mtu wenu anataka kuvuruga basi lazima athibitiwe vilivyo!
Safari ya ukombozi? Kweli ukipenda chongo utaona kengeza tu.Nimeamini kuwa safari ya ukombozi haijawahi kuwa kitu cha overnight, ni ndefu kweli kweli. Lissu atatuvusha Watanzania tusifanye Makosa trh 28.10
Kuzungumzia Amani bila kutanguliwa na Haki ni jambo lisilowezekana.