CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Unaongea mimavi, uharo na ujinga.
Kama unachosema ni kweli Kwanini Polisi hawakungojea mkutano huu uanze ndipo wamkamate Lissu na hao Raia wa kigeni with vivid evidence?
Ni chizi tu kama wewe anaweza kukubaliana na hizi propaganda za Lumumba....!!
 
Mnahubiri kuhusu haki na Uhuru kila kukicha na licha ya kuwa na kiongozi mwanasheria ila ndo anaongoza kwa kuvunja sheria
Kavunja Sheria ipi? Acha kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu na polepole
 
Mpo wanagapi unadhani?
Huyo tobo Lisu akijidai atalala hapo mpaka kesho asubuhi, nakesho jioni na itafika muda aombe mwenyewe kwenda nyumbani kwake kwa hiyari bila shurti.
Na hataina mtu anamjari.
Wewe ndiyo tobo lala kwako hata kuna kunguni acha ushambenga wa kujua alipolala Lisu
 
Kuna tetesi kuwa wananchi kadhaa wameanza kuelekea eneo ambalo mgombea wa nafasi ya urais kupitia chadema Tundu Antipas Lissu amezuiliwa kuendelea na safari yake ya kufanya kazi za chama mkoani pwani.

Mdau aliye eneo la tukio tunaomba updates zikiwepo picha ili walio mbali tupate kuwaunga mkono kwa njia moja au nyingine.
 
Acheni hizi stori zenu bhana!

Hivi Lisu tangu lini akaenda kukagua soko?

Mwambieni huyu mzee wa faragha aacje uhuni maana kuna wahuni zaidi yake!

Eti kukagua soko.

Shida ni ni biashara akikagua hilo soko? Mambo mengine ni madogo yasiyo hata na maana. Kwahiyo hapo ndio serekali inaonyesha jinsi ilivyo makini kwenye utendaji au ni upuuzi tu? Sishangai wazungu wakituita manyani.
 
Natamani sana Mike Pompeo atutangazie MTU mwengine ambaye amezuiwa kukanyaga Marekani pamoja na familia yake, kama yule wa January 31.
Asipokanyaga anakufa?
Ataanza kulala njaa?

Je makonda kafa.? Watoto wake hawali?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi manafikiri kila mtu antamani kwenda huko kwa mabwana zenu?
 
Akikujibu kwa kifungu cha sheria Nitag please!!

Wanachokitaka jamaa akae ndani [emoji3],Tanzania tulipofikia ni kuitoa ccm madarakani tu ndio majibu ya mambo yote.

Ila lile shangwe la moshi ccm waliumia sana na walipanic jamaa anakubalika sana watu wanamfata kila kona wao mpaka wawa fate watu.

Ndio Tanzania tulipofikia hapo,wanaovunja sheria ndio wanaachwa ukifata sheria wanakukamata wanasema umevunja sheria.
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba vijana wa uvccm wanavalishwa sare na kuingizwa polis, pia wanatumika kuvuruga mikutano au mikakati ya wapinzani kama walivyofanya kule kwa heche na lema
Polepole na Bashiru baada ya kukalia kuti kavu wameamua kutengeneza vikundi vya kuvamia mikutano ya chadema na ofisi za wagombea wa chadema kupora computer na kuiba kila kitu
 
I am financially sound more than you might think. I can even be your employer. So be careful not to ruin your employment chances by your improper responses to my posts.
Never on the earth [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida ni ni biashara akikagua hilo soko? Mambo mengine ni madogo yasiyo hata na maana. Kwahiyo hapo ndio serekali inaonyesha jinsi ilivyo makini kwenye utendaji au ni upuuzi tu? Sishangai wazungu wakituita manyani.
Kwenye soko anaenda kukagua kitu gani?


Lisu yeye ni nani aende kukagua soko?
 
Kwenye soko anaenda kukagua kitu gani?


Lisu yeye ni nani aende kukagua soko?
Kama Mtanzania kaenda kukagua wizi wako ufisadi wako na kuuliza ni kwa nini kila tenda kubwa mnapewa nyinyi wasukuma tu?
 
Kama Mtanzania kaenda kukagua wizi wako ufisadi wako na kuuliza ni kwa nini kila tenda kubwa mnapewa nyinyi wasukuma tu?
Mkuu si huwa mnasema mtakinukisha?

Kamuungeni mkono kamanda wenu sasa mbona mmemuacha anapigwa baridi pke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…