Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Unaongea mimavi, uharo na ujinga.Ndio kazi yao kukesha kuhakikisha nchi inakuwa na amani
Mikakati ya vurugu kuvuruga uchaguzi mkuu ilipangwa ikafanyike Kibaha wakikimbia Dar kuwa mimacho iko mingi wakajichimbie Kibaha ambako Raia wa nje pia wangehudhuria huo mkutano wa ndani wa Siri .Raia wema wakaitonya Polisi
Kama unachosema ni kweli Kwanini Polisi hawakungojea mkutano huu uanze ndipo wamkamate Lissu na hao Raia wa kigeni with vivid evidence?
Ni chizi tu kama wewe anaweza kukubaliana na hizi propaganda za Lumumba....!!