The world is watching...Gogoni imeingia kwenye ramani ya siasa za upinzaniMatendo yanayotendwa na vyombo vya Ulinzi dhidi ya wapinzani ni uonevu Ambao Tanzania tulipinga wakati Waafrika wananyanyaswa na Makaburu.
Askari wetu kutenda matendo haya ni sawa na kulidhalilisha Taifa letu ambalo lilikuwa mstari wa mbele kupinga vitendo hivi viovu.
Matendo haya maovu hayawezi kuleta afya njema ya Taifa letu.View attachment 1592393View attachment 1592394
Labda nchi ya WAGAGAGIGIKOKO!!!Lissu lazima awe Rais wa nchi hii
Kwahiyo lengo lake la kwenda sokoni limetimia?Naona leo umepewa bundle la mashaka mashaka hata haujui kuwa polisi wameufyata na Lisu keshaenda zake Mlandizi.
Naona mataga ajira ya buku saba haikidhi mpaka unalilia wanaume wakupe account za forex utrade
Afu ukija jf siasa unahara hara tu hapa.
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.
mapolisi WAMELEGEA!! wamekimbia kutoka eneo la tukio.expand...
Kama Somalia vile.
[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]mapolisi WAMELEGEA!! wamekimbia kutoka eneo la tukio.
chuma kimesema kinaendelea na mikutano Mlandizi usiku huu huu.
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako dadeki!!
Lissu 3 - 0 Mapolisi (dakika 80)[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
Jiwe ni Kaburu wa kiafrika.Matendo yanayotendwa na vyombo vya Ulinzi dhidi ya wapinzani ni uonevu Ambao Tanzania tulipinga wakati Waafrika wananyanyaswa na Makaburu.
Askari wetu kutenda matendo haya ni sawa na kulidhalilisha Taifa letu ambalo lilikuwa mstari wa mbele kupinga vitendo hivi viovu.
Matendo haya maovu hayawezi kuleta afya njema ya Taifa letu.View attachment 1592393View attachment 1592394
Huyu bint wa Lowassa ni wale watu wanaoishi kwa shidaMkuu huyo Jane Lowassa,ndo wale wale wazee wakusapoti kila jambo liwe baya au zuri.
Mkuu..Walisha ondoka washamba wale Lissu alisha agiza chakula kabisa
Kila kitu chako kuanzia simu. Email hadi whtsup chats zako zote zinadukuliwa Ndio maana Unaandika mambo ya kumridhisha magu ili asiwaadhibuUnipe pole Mimi nimetoka familia tajiri? Au mm nikupe pole wewe unayefanya biashara isiyokupa faida
Haswaaa nasubili Yule jamaa wa Denmark ya tandale aje hapa akitekenye bongo sihami🤣🤣🤣Watumishi wote kura kwa lissu.
Mmeteswa sana miaka 5 bila kupata stahiki zenu!!
Hamna mtu asiye na chama hapa duniani, Mawazo yako na utashi wako utakufanya uwe na makubaliano na mawazo ya chama fulani-na halo ndio uanachama wako ulipo.uanchama sio kadi Bali ni imani.Mimi sina chama ila Huyo kijana amepotoka