CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Matendo yanayotendwa na vyombo vya Ulinzi dhidi ya wapinzani ni uonevu Ambao Tanzania tulipinga wakati Waafrika wananyanyaswa na Makaburu.
Askari wetu kutenda matendo haya ni sawa na kulidhalilisha Taifa letu ambalo lilikuwa mstari wa mbele kupinga vitendo hivi viovu.

Matendo haya maovu hayawezi kuleta afya njema ya Taifa letu.View attachment 1592393View attachment 1592394
The world is watching...Gogoni imeingia kwenye ramani ya siasa za upinzani
 
[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
4890980.jpg
 
Naona leo umepewa bundle la mashaka mashaka hata haujui kuwa polisi wameufyata na Lisu keshaenda zake Mlandizi.

Naona mataga ajira ya buku saba haikidhi mpaka unalilia wanaume wakupe account za forex utrade

Afu ukija jf siasa unahara hara tu hapa.
Kwahiyo lengo lake la kwenda sokoni limetimia?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lisu ni debe tupu. Kakalishwa masaa 7 njiani alafu unasema kashinda game?

Subiri tarehe 28 asilimia 19 zake zinamsubiri
 
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.

expand...
mapolisi WAMELEGEA!! wamekimbia kutoka eneo la tukio.

chuma kimesema kinaendelea na mikutano Mlandizi usiku huu huu.

Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako dadeki!!

mapolisi WAMELEGEA!! wamekimbia kutoka eneo la tukio.

chuma kimesema kinaendelea na mikutano Mlandizi usiku huu huu.

Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako dadeki!!
[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
 
[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
Lissu 3 - 0 Mapolisi (dakika 80)
Nyamongo (dakika 35)
Moshi (dakika 50)
Kiluvya (dakika 79)
 
Matendo yanayotendwa na vyombo vya Ulinzi dhidi ya wapinzani ni uonevu Ambao Tanzania tulipinga wakati Waafrika wananyanyaswa na Makaburu.
Askari wetu kutenda matendo haya ni sawa na kulidhalilisha Taifa letu ambalo lilikuwa mstari wa mbele kupinga vitendo hivi viovu.

Matendo haya maovu hayawezi kuleta afya njema ya Taifa letu.View attachment 1592393View attachment 1592394
Jiwe ni Kaburu wa kiafrika.
 
Mkuu huyo Jane Lowassa,ndo wale wale wazee wakusapoti kila jambo liwe baya au zuri.
Huyu bint wa Lowassa ni wale watu wanaoishi kwa shida
Simu zao
Email zao
Chat zao
Zote zinadukuliwa sasa anajitahidi kuandika mambo ya kumridhisha jiwe ili zile Mali zolizo taifishwa warudishiwe
Hawa ni wanyonge wanaishi kwa mashaka Sana
 
Walisha ondoka washamba wale Lissu alisha agiza chakula kabisa
Mkuu..

Siku nyingine kama huna uhalika na jambo kaa kimya..[emoji35][emoji35]

Update za sasa hivi bado watu eneo la tukio.
 
Unipe pole Mimi nimetoka familia tajiri? Au mm nikupe pole wewe unayefanya biashara isiyokupa faida
Kila kitu chako kuanzia simu. Email hadi whtsup chats zako zote zinadukuliwa Ndio maana Unaandika mambo ya kumridhisha magu ili asiwaadhibu
Ninyi ni watumwa katika nchi yenu
Pole kwa kukosa uhuru
You can't breathe but you can't say
 
Mimi sina chama ila Huyo kijana amepotoka
Hamna mtu asiye na chama hapa duniani, Mawazo yako na utashi wako utakufanya uwe na makubaliano na mawazo ya chama fulani-na halo ndio uanachama wako ulipo.uanchama sio kadi Bali ni imani.
 
Back
Top Bottom