Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria zipi mkuu?Fuateni sheria bila shuruti
Matendo ya polisi kuwanyanyasa wapinzani ni Kama wanaiuhujumu ccm na Utawala huu uzidi kuchukiwa na wananchi na kupelekea kura nyingi Sana kwa upinzani.
Kaburu ni Kaburu Tu hata akiwa mtu mweusi. Ukiwa na tabia za Kikaburu we ni kaburu tu. JKNMatendo yanayotendwa na vyombo vya Ulinzi dhidi ya wapinzani ni uonevu Ambao Tanzania tulipinga wakati Waafrika wananyanyaswa na Makaburu.
Askari wetu kutenda matendo haya ni sawa na kulidhalilisha Taifa letu ambalo lilikuwa mstari wa mbele kupinga vitendo hivi viovu.
Matendo haya maovu hayawezi kuleta afya njema ya Taifa letu.View attachment 1592393View attachment 1592394
Wanamfanya siku 7 ziwe fupi sana.Asanteni polisi kwa kumpigia Lisu kampeni
Ulichewa kupata tarifa mkuu me nilikuwa na connection ya Kinacho endeleaMkuu..
Siku nyingine kama huna uhalika na jambo kaa kimya..[emoji35][emoji35]
Update za sasa hivi bado watu eneo la tukio.
Imeandikwa wapi hiyo sheria? Na kwa hiyo mlitaka waje na virungu, ili iwe rahisi kuwapiga mawe si ndio?..Silaha za moto zinatakiwa mahali ambapo Polisi wanakabiliana na mtu mwenye silaha.
Azizi mnatia aibuImeandikwa wapi hiyo sheria? Na kwa hiyo mlitaka waje na virungu, ili iwe rahisi kuwapiga mawe si ndio?
Ningekuwa mimi bavicha sasa hivi nisingeongelea hii ishu ya Lisu maana mmetia aibu sana!Huku RPC akisema tutashinda hapa na Lissu hata mwezi mzima maana ndio kazi yetu hio hahah ,kilichotokea sasa police hata siku 1 tu ya kushinda hapo imewashinda wamesepa zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiiiiiiiiiiiii.
Ningekua mimi Mataga ningejikalia kimya kwa uongo ninao danganya.Ningekuwa mimi bavicha sasa hivi nisingeongelea hii ishu ya Lisu maana mmetia aibu sana!
Olewake nione bavicha anatoa mkwara mbuzi humu.
Lisu anawafanya maccm, mapolisi, tume na wadhalimu wote wajue hawajui chochote. Ni spana mdomoni, spana zaidi katika matendo. Spana! Spana! Spana. LISSU katupa msamiati mpya pale Kiluvya. Amemaliza hotuba kwa kusema "It's late, but it's okey. Tuko tayari kuingia magogoni.Polisi wenye silaha za Moto, sasa mlitakaje yaani mlitaka polisi waje na silaha za maji?? Wapinzani acheni upuuzi aisee, ni vizuri na busara kutii sheria bila shuruti.
Mzee Butiku bado anapenda kuishi mjue , mnajifanya hamjui roho mbaya ya mwenyekiti wa chama cha mboga mbogaInashangaza Sana...enzi za Kikwete Butiku na Taasisi yake walikuwa mstari wa mbele kukemea na kukosoa ...siku hizi wamelala dorooo...na huu ndio mwisho wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere
Lisu anawafanya maccm, mapolisi, tume na wadhalimu wote wajue hawajui chochote. Ni spana mdomoni, spana zaidi katika matendo. Spana! Spana! Spana. LISSU katupa msamiati mpya pale Kiluvya. Amemaliza hotuba kwa kusema "It's late, but it's okey. Tuko tayari kuingia
IPPLisu anawafanya maccm, mapolisi, tume na wadhalimu wote wajue hawajui chochote. Ni spana mdomoni, spana zaidi katika matendo. Spana! Spana! Spana. LISSU katupa msamiati mpya pale Kiluvya. Amemaliza hotuba kwa kusema "It's late, but it's okey. Tuko tayari kuingia magogoni.
Hizo ndio njozi za mawengewenge. Bado kidogo tu zitajiishiaKifupi Lisu kaamua kukaidi maamuzi ya tume na ya kamati kuu ya Chadema kabaki na msimamo wake wa kuendelea na kampeni
..Na kwanini Polisi wajifiche sura zao kana kwamba ni magaidi?Imeandikwa wapi hiyo sheria? Na kwa hiyo mlitaka waje na virungu, ili iwe rahisi kuwapiga mawe si ndio?
Nilijua labda kwakua niliondoa ignore kua angalau utajiongeza kua na hoja,hekima nk.Hivi unaweza ukatuelezea wapi Lissu alisema wananchi tupigane tofauti na kinachofanywa na wanaccm kama kuchana na kubandua Bendera za CHADEMA?Anasema anaenda kukagua soko kibaha kama nani? Na chadema haiamini kwenye maendeleo ya vitu
Lisu hakuja Tanzania kugombea kaja tu kuleta vurugu na kutimkia ubelgiji angekuwa kaja kugombea saa hii angekuwa maeneo kibao akinadi Sera na hakuna ambaye angehakaika naye Lisu anatafuta kila opportunity ya kuanzisha vurugu sema watanzania huko hatuko amani kwetu muhimu kuliko kitu chochote tuko tayari kukosa kila kitu ila tubaki na amani huko kwenye vurugu asitegemee support ya wananchi .Kwenye kura hawana shida lakini vurugu no no no
Tume ya uchaguzi mwondoeni tu wala msiogope au mwingezeeni adhabu ya siku 14 zingine
Haahahaha, wewe ulitaka uone sura za ili iweje? mbona hoja ya kipimbi sana hiyo..Na kwanini Polisi wajifiche sura zao kana kwamba ni magaidi?