CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Jana kazuga kuwapigia simu mabolizozo ili waonekane yupo pamoja na walimu.

Walimu msituke msimpe kura zenu
 
Waislamu wenzangu tunatia aibu sijui ni kwa sababu ya elimu duni darasa la 7 au tumerogwa
Yaani pumba tupu mpaka naona noma😩😩
 
Huyu bint wa Lowassa ni wale watu wanaoishi kwa shida
Simu zao
Email zao
Chat zao
Zote zinadukuliwa sasa anajitahidi kuandika mambo ya kumridhisha jiwe ili zile Mali zolizo taifishwa warudishiwe
Hawa ni wanyonge wanaishi kwa mashaka Sana
Mzee baba na wewe ukaamini kabisaa huyo ni mtoto wa Lowassa?

Ulishawahi kuona mtoto wa Lowassa anaulizia bei ya Altezza used ya hapa bongo?
 
Kwny twitter yake akatoa ujumbe then mwishoni akamalizi Mwl. JPM

Nilishangaa sana maana sijawahi kusikia akijiita mwl,sijui mwaka huu kuna nini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu hajaamini kabisa!

Kakalishwa na polisi masaa 8 mpaka midomo imemkauka alafu wafuasi wake wako humu wanaishia kumtag Amsterdam,! Aibu sana hii.
 
Hawajui kwa kufanya hivi wanahamasisha umma kutaka mabadiliko
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu hajaamini kabisa!

Kakalishwa na polisi masaa 8 mpaka midomo imemkauka alafu wafuasi wake wako humu wanaishia kumtag Amsterdam,! Aibu sana hii.
Mtapanua sana magoli safari hii , Tuliwaonya kwamba Lissu si mwepesi kama mnavyodhani , wanafiki wakubwa nyie !
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu hajaamini kabisa!

Kakalishwa na polisi masaa 8 mpaka midomo imemkauka alafu wafuasi wake wako humu wanaishia kumtag Amsterdam,! Aibu sana hii.
Huku RPC akisema tutashinda hapa na Lissu hata mwezi mzima maana ndio kazi yetu hio hahah ,kilichotokea sasa police hata siku 1 tu ya kushinda hapo imewashinda wamesepa zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiiiiiiiiiiiii.
 
Huwa namshukuru sana Mungu kwa kunijalia kuishi nyakati hizi, kipindi ambacho nashudia live kufa kwa utawala dhalimu wa CCM,chama kilicholiibia taifa hili since independence
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu hajaamini kabisa!

Kakalishwa na polisi masaa 8 mpaka midomo imemkauka alafu wafuasi wake wako humu wanaishia kumtag Amsterdam,! Aibu sana hii.
 
CCM ni Chama Cha Majambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…