othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Jana kazuga kuwapigia simu mabolizozo ili waonekane yupo pamoja na walimu.
Walimu msituke msimpe kura zenu
Walimu msituke msimpe kura zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwny twitter yake akatoa ujumbe then mwishoni akamalizi Mwl. JPMJana kazuga kuwapigia simu mabolizozo ili waonekane yupo pamoja na walimu.
Walimu msituke msimpe kura zenu
Mzee baba na wewe ukaamini kabisaa huyo ni mtoto wa Lowassa?Huyu bint wa Lowassa ni wale watu wanaoishi kwa shida
Simu zao
Email zao
Chat zao
Zote zinadukuliwa sasa anajitahidi kuandika mambo ya kumridhisha jiwe ili zile Mali zolizo taifishwa warudishiwe
Hawa ni wanyonge wanaishi kwa mashaka Sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu hajaamini kabisa!Kwny twitter yake akatoa ujumbe then mwishoni akamalizi Mwl. JPM
Nilishangaa sana maana sijawahi kusikia akijiita mwl,sijui mwaka huu kuna nini.
Hawajui kwa kufanya hivi wanahamasisha umma kutaka mabadilikoMatendo yanayotendwa na vyombo vya Ulinzi dhidi ya wapinzani ni uonevu Ambao Tanzania tulipinga wakati Waafrika wananyanyaswa na Makaburu.
Askari wetu kutenda matendo haya ni sawa na kulidhalilisha Taifa letu ambalo lilikuwa mstari wa mbele kupinga vitendo hivi viovu.
Matendo haya maovu hayawezi kuleta afya njema ya Taifa letu.View attachment 1592393View attachment 1592394
Mimi sina chama ila Huyo kijana amepotoka
Mtapanua sana magoli safari hii , Tuliwaonya kwamba Lissu si mwepesi kama mnavyodhani , wanafiki wakubwa nyie ![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu hajaamini kabisa!
Kakalishwa na polisi masaa 8 mpaka midomo imemkauka alafu wafuasi wake wako humu wanaishia kumtag Amsterdam,! Aibu sana hii.
Ni heri bao lililokuzaa lingetoka kwa punyeto au ndoto nyevu.Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Huku RPC akisema tutashinda hapa na Lissu hata mwezi mzima maana ndio kazi yetu hio hahah ,kilichotokea sasa police hata siku 1 tu ya kushinda hapo imewashinda wamesepa zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiiiiiiiiiiiii.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu hajaamini kabisa!
Kakalishwa na polisi masaa 8 mpaka midomo imemkauka alafu wafuasi wake wako humu wanaishia kumtag Amsterdam,! Aibu sana hii.
Huwezi zuia mabadiliko kwa kutumia nguvuHawajui kwa kufanya hivi wanahamasisha umma kutaka mabadiliko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu hajaamini kabisa!
Kakalishwa na polisi masaa 8 mpaka midomo imemkauka alafu wafuasi wake wako humu wanaishia kumtag Amsterdam,! Aibu sana hii.
Hila kaburu lazima lisalimu amri tu wakati unakaribia.Jiwe ni Kaburu wa kiafrika.
Kijana ganiMimi sina chama ila Huyo kijana amepotoka
We si wajela,huko ndio Kuna kufaa,kwingine waachie wengine.Mimi sina chama ila Huyo kijana amepotoka
CCM ni Chama Cha MajambaziMatendo yanayotendwa na vyombo vya Ulinzi dhidi ya wapinzani ni uonevu Ambao Tanzania tulipinga wakati Waafrika wananyanyaswa na Makaburu.
Askari wetu kutenda matendo haya ni sawa na kulidhalilisha Taifa letu ambalo lilikuwa mstari wa mbele kupinga vitendo hivi viovu.
Matendo haya maovu hayawezi kuleta afya njema ya Taifa letu.View attachment 1592393View attachment 1592394
Hats sifuri xKuwen wazalendo ....
MAGUFULI
mitano tena
JohnKijana gani
CCM ni Chama Cha Majambazi