CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Matendo ya polisi kuwanyanyasa wapinzani ni Kama wanaiuhujumu ccm na Utawala huu uzidi kuchukiwa na wananchi na kupelekea kura nyingi Sana kwa upinzani.
 
Polisi wanampigia kampeni kiaina. Siku ya leo Lisu ame-jadiliwa nchi nzima. Kesho wasipomzuia Hashimu Rungwe nutapeleka malalqmiko tume ya maadili ya taifa.
Matendo ya polisi kuwanyanyasa wapinzani ni Kama wanaiuhujumu ccm na Utawala huu uzidi kuchukiwa na wananchi na kupelekea kura nyingi Sana kwa upinzani.
 
Kaburu ni Kaburu Tu hata akiwa mtu mweusi. Ukiwa na tabia za Kikaburu we ni kaburu tu. JKN
 
Mkuu..

Siku nyingine kama huna uhalika na jambo kaa kimya..[emoji35][emoji35]

Update za sasa hivi bado watu eneo la tukio.
Ulichewa kupata tarifa mkuu me nilikuwa na connection ya Kinacho endelea
 
Imeandikwa wapi hiyo sheria? Na kwa hiyo mlitaka waje na virungu, ili iwe rahisi kuwapiga mawe si ndio?
Azizi mnatia aibu
Jamani waislamu wenzangu tunatia aibu sijui ni kwa sababu ya elimu duni darasa la 7 au tumerogwa
Embu ona huyu anaandika pumba tupu
 
Ningekuwa mimi bavicha sasa hivi nisingeongelea hii ishu ya Lisu maana mmetia aibu sana!

Olewake nione bavicha anatoa mkwara mbuzi humu.
 
Ningekuwa mimi bavicha sasa hivi nisingeongelea hii ishu ya Lisu maana mmetia aibu sana!

Olewake nione bavicha anatoa mkwara mbuzi humu.
Ningekua mimi Mataga ningejikalia kimya kwa uongo ninao danganya.
 
Ikitokea tena wahisabuni wapo wangapi na nyinyi mupo wangapi kinamnawafanyia Upemba sio Umafia,Upemba mnawanyanganya silaha zao umafia ni kuwaua,hilo sio muafaka.

Amueni kila askari anavamiwa na watu 20 wanatosha ndivyo walivyofanya pemba.
 
Polisi wenye silaha za Moto, sasa mlitakaje yaani mlitaka polisi waje na silaha za maji?? Wapinzani acheni upuuzi aisee, ni vizuri na busara kutii sheria bila shuruti.
Lisu anawafanya maccm, mapolisi, tume na wadhalimu wote wajue hawajui chochote. Ni spana mdomoni, spana zaidi katika matendo. Spana! Spana! Spana. LISSU katupa msamiati mpya pale Kiluvya. Amemaliza hotuba kwa kusema "It's late, but it's okey. Tuko tayari kuingia magogoni.
 
Inashangaza Sana...enzi za Kikwete Butiku na Taasisi yake walikuwa mstari wa mbele kukemea na kukosoa ...siku hizi wamelala dorooo...na huu ndio mwisho wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere
Mzee Butiku bado anapenda kuishi mjue , mnajifanya hamjui roho mbaya ya mwenyekiti wa chama cha mboga mboga
 

IPP
 
Kifupi Lisu kaamua kukaidi maamuzi ya tume na ya kamati kuu ya Chadema kabaki na msimamo wake wa kuendelea na kampeni
Hizo ndio njozi za mawengewenge. Bado kidogo tu zitajiishia
 
Nilijua labda kwakua niliondoa ignore kua angalau utajiongeza kua na hoja,hekima nk.Hivi unaweza ukatuelezea wapi Lissu alisema wananchi tupigane tofauti na kinachofanywa na wanaccm kama kuchana na kubandua Bendera za CHADEMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…