shauritanga one
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 245
- 232
Daa akili ni nywele murah,Sasa atakimbiaje wakati Yuko front line kwenye battle field si atapigwa risasi.Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Haahahaha, wewe ulitaka uone sura za ili iweje? mbona hoja ya kipimbi sana hiyo
Wapi imeandikwa hayo unayoyasema?..wanatakiwa waonyeshe SURA zao.
..pia sare zao zionyeshe MAJINA yao.
..hawa siyo majambazi au magaidi wanaofanya kazi kwa kificho.
Wapi imeandikwa hayo unayoyasema?
Sio jana Tokea 2016, Mbowe,Lema,Heche, Tundulisu na Robert Amsterdam wanatupa hadi mafunzo ya kijasusi ya mitandaoNasikia jana mlikuwa mnapewa lecture namna ya kupambana na machadema mitandaoni.. leo mnafukunyua tu nyuzi mlizoshindwa kuzijibu ili kupractice lecture
Wapi imeandikwa hayo unayoyasema?
Lete hapa huo muongozo tuuone usiishie kupiga porojo..imeandikwa kwenye muongozo wa utendaji kazi wa jeshi la polisi.
Lete hapa huo muongozo tuuone usiishie kupiga porojo
Na siwezi nikaamini uongo, kwa maana imani bila matendo hufa, leta hapa ushahidi ndo niamini...kama huamini haina tatizo.
..lakini Polisi wetu hawatakiwa kuficha sura zao.
..wao sio majambazi, magaidi, au mamluki[askari wa kukodiwa] ambao hufanya kazi kwa kificho.
..Polisi wa Tz hawatakiwa kuficha sura zao wakati wakitekeleza majukumu yao.Na siwezi nikaamini uongo, kwa maana imani bila matendo hufa, leta hapa ushahidi ndo niamini.
Hizo ni sound mchicha hamna ushahidi..Polisi wa Tz hawatakiwa kuficha sura zao wakati wakitekeleza majukumu yao.
..Majambazi, magaidi, na mamluki[askari wa kukodiwa] ndio huficha sura zao.
Hizo ni sound mchicha hamna ushahidi