mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Crimea usishabikie u dhalimu "je Mheshimiwa Lissu alifungwa kifungo cha ndani au lah?sasa amewambia Atalala pale mpaka wamruhusu sasa nani atapata hasara. Nina uhakika Jeshi la polisi itabidi limlinde kwa gharama kubwa mana wangekua wamemucha aendelee...sioni kama kungekua na tatzo mana haendi kwenye kampeni!!!Eti akikuwa anaenda kukagua soko!
Kukagua soko kama nani? Yeye si anasema hayo ni maendeleo ya vitu?
Huyu jamaa safari hii NEC wamtoe kabisa kwenye ugombea ili akawakilie hao mabwana zake vizuri
Tangu kini mwenyekiti wa chama ukaenda kukagua soko?Huna akili wewe huyo n m/mwenyekiti anadhamana ya kofia yake kwenda na kumnadi mgombea yoyote, Majaliwa anatembea Nchi nzima Kama nani?? Pumbavu wewe
Anasafiri kwenda kukagua soko yeye kama nani?Jane Lowassa akili zako lazima zitakuwa matakoni,sasa hapo alikuwa anafanya Kampeni au alikuwa anasafiri??
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mimi hii ya kusubiria watu wawekewe vikwazo wakati tunaweza chukua hatua wenyewe inanikwanza sana DeeVikwazo vikiweka ndo akili zitawarudia
Tutajiye alichovunja.Mwambieni ajifunze kutii sheria bila shuruti. Nothing less nothing more.
Mabeberu NDO WANAOLIPA MISHAAHRA HADI YA LUMUMBA,HUONI MIRADI NI HISANI YA WATU WA MAREKANUnajua nadhani mtu akishakula advance ya mabeberu atafanya kila njia kuwaridhisha maboss zake. Hicho ndiyo kinampata Lissu
Kinukishe sasaMimi hii ya kusubiria watu wawekewe vikwazo wakati tunaweza chukua hatua wenyewe inanikwanza sana Dee
Majaliwa kapewa adhabu na tume? Jaribu kuwa muelewa basi we kaka. Mbona mnatia aibu jukwaani jamani?Huyo n m/mwenyekiti anadhamana ya kofia yake kwenda na kumnadi mgombea yoyote, Majaliwa anatembea Nchi nzima Kama nani??
Polisi inawahusu Nini?? Kavunja Sheria gani??poor ccmSasa ndio aende kukagua soko?
Miaka 60 baaya ya Uhuru Tanzania ni kati ya nchi 28 masiki kabisa Dunia, IMF wametupa pesaUnajua nadhani mtu akishakula advance ya mabeberu atafanya kila njia kuwaridhisha maboss zake. Hicho ndiyo kinampata Lissu
Kwani amezuiwa akiwa anapanda kwenye jukwaa kuhutubia?Huyu si kapewa adhabu asifanye kampeni. Hivi huyu mbona mzito sana kuelewa huyu? Anataka nn huyu? Ametumwa na nani huyu? Kwanini anafanya fujo lakini huyu?
Huna akili Majaliwa anatembea Nchi nzima kupiga kampeni Kama Nani??Majaliwa kapewa adhabu na tume? Jaribu kuwa muelewa basi we kaka. Mbona mnatia aibu jukwaani jamani?
Sheria ipi inasema kuwa wakati wa kampeni shughuli nyingine za kisiasa kama vile vikao vya ndani haviruhusiwi?Hiki ni kipindi cha kampeni, siyo shughuli nyingine za kisiasa. Muwe mnaelewa basi nyie wapinzani siyo kupingapinga tu.
Hizi propoganda uchwara bado unazitumia 2020? Lissu ndo ameamrisha hao police watoke vituoni?Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yeye ni kibaraka wa mabeberu ndio maana unaona kuna nguvu kubwa ya wanachi kumpinga.Crimea usishabikie u dhalimu "je Mheshimiwa Lissu alifungwa kifungo cha ndani au lah?sasa amewambia Atalala pale mpaka wamruhusu sasa nani atapata hasara. Nina uhakika Jeshi la polisi itabidi limlinde kwa gharama kubwa mana wangekua wamemucha aendelee...sioni kama kungekua na tatzo mana haendi kwenye kampeni!!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Ushindi upo lakini sio papo kwa papoUshindi unakaribia