CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Polisi inawahusu Nini?? Kavunja Sheria gani??poor ccm
Kila siku anaponda kwamba hayo ni maendeleo ya vitu,
Leo eti anaenda kukagua soko!
CHADEMA ndio ilijenga hilo soko? Yeye ni nani kwenye hilo eneo mpaka useme unaenda kukagua?

Huyu mzee wa faragha vipi?
 
Yaani hata mimi namshangaa huyu Lissu anavyolazimisha kukubalika
Wewe Akili zako ni finyu unaweza kushangaa hata kusikia kuwa polepole huenda chooni, unavyoshangaa haviwezi kushangazwa na binadamu wengine, endelea kujitoa fahamu ukisaka uteuzi kwa njia haramu ukazani utaupata kirahisi hivyo
 
Jane Lowassa,

Nani kakwambia anafanya kampeni??? It is a matter of common sense hajazuiwa kutembea and is not under house arrest!
 
Duh! Wahurumie bhabha, hii ngoma unayowachezesha ni midundo ya haraka haraka mno, wabadilishie midundo ya slow slow wapumue kidogo
 
Sheria ipi inasema kuwa wakati wa kampeni shughuli nyingine za kisiasa kama vile vikao vya ndani haviruhusiwi?Unafikiri kila mtu ni mbumbumbu kama mataga wenzako wa Lumumba?
Sasa huyo Lisu anasema alikuwa anaenda kukagua soko. Unalijua hilo solo alilojenga Lissu? Kama siyo fujo ni nn hiki?
 
Hiki ni kipindi cha kampeni, siyo shughuli nyingine za kisiasa. Muwe mnaelewa basi nyie wapinzani siyo kupingapinga tu.
Kipindi cha kampeni hakimzuii Lissu kutembea kokote ili mradi hafanyi mikutano acheni ujinga wenu wa kishamba tokea chato
 
Nani kakwambia PM akiwa kibaha watu hawaruhusiwi kwenda huko?
Akili za kukosa weredi wa sheria!
PM hicho cheo hakipo kwani bunge lilishavunjwa tayari kaka anajiita PM huyo majaliwa atakuwa anavunja Sheria na katiba
 
Sasa huyo Lisu anasema alikuwa anaenda kukagua soko. Unalijua hilo solo alilojenga Lissu? Kama siyo fujo ni nn hiki?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nmecheka sana,!

Sisi tulikuwa tunaenda kukagua soko, na kufungua matawi ya chama,

Yani Lisu leo kawa mkaguzi wa masoko yanayojenhwa na selikali ya JPM?
 
Kila siku anaponda kwamba hayo ni maendeleo ya vitu,
Leo eti anaenda kukagua soko!
Chadema ndio ilijenga hilo soko? Yeye ni nani kwenye hilo eneo mpaka useme unaenda kukagua?

Huyu mzee wa faragha vipi?
Toa utahira wako, CCM wamejanga Hilo soko? Au polisi?? ficha upumbavu wenu.
 
Lisu ni debe tupu,

Eti alikuwa anaenda kukagua soko,! Yeye kama nani hadi aende kukagua soko?

Na kila siku anasema hayo ni maendeleo ya vitu
Wewe ndiyo debe tupu unawezaje kujua chochote?
 
Kipindi cha kampeni hakimzuii Lisu kutembea kokote ili mradi hafanyi mikutano acheni ujinga wenu wa kishamba tokea chato
Wewe hilo soko alilojenga Lisu alilokuwa anaenda kukagua unalijua?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nmecheka sana,!

Eti anaongea kwa kulegeza sauti,
Sisi tulikuwa tunaenda kukagua soko, na kufungua matawi ya chama,

Yani Lisu leo kawa mkaguzi wa masoko yanayojenhwa na selikali ya JPM?
Mnaozosha watoto wenu kujenga hayo masoko??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…