YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kifupi Lisu kaamua kukaidi maamuzi ya tume na ya kamati kuu ya Chadema kabaki na msimamo wake wa kuendelea na kampeniHili na Mimi nilijua kuwa litatokea. Ngoja wazikane wao kwa wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifupi Lisu kaamua kukaidi maamuzi ya tume na ya kamati kuu ya Chadema kabaki na msimamo wake wa kuendelea na kampeniHili na Mimi nilijua kuwa litatokea. Ngoja wazikane wao kwa wao
Niende somalia kisa nchi inaendeshwa na matapeli? Labda nitaenda somalia kujifunza jinsi ya kupigania haki dhidi ya matapeli wa ccmNenda kakae Somalia
Mpo wanagapi unadhani?POLE sana,
Wee ndio kama mafarisayo, umekaririshwa porojo vichekesho. Ninaijua historia vizuri sana na sina wasiwasi kwa hilo.
Akili za kuambiwa changanya zako kinyume chake, ndio maana unatia huruma sana.
Historia imeshathibitisha kuwa, duniani mbinu za ukandamizaji na ubabaishaji hudumu kwa muda mfupi TU pamoja na kutegemea ubabe.
Na huo wa kwenu kama ule wa SA umefika mwisho, na hata kama hupendi kama makaburu wenzenu, hautalipa.
Mmejitahidi sana kuzusha na kubumba porojo nyingi kuhusu watu wenye UZALENDO wa kweli na vyama vyao, sasa hivi mechokwa.
Hamtaweza kuzuia mapenzi ya kweli kwa wananchi ambao wanateseka kwenye nchi yao, kwa hadithi za madaraja na midege isiyoleta nafuu katika maisha yao. Hata watoto wa chekechea huzichoka pipi za ahadi.
Jifunze utajua,
Anglia picha ya paji la USO wa Mandela , utaona kovu la DOA jeusi mkono wa kulia.
Harafu angalia picha ya paji la USO wa Mandela aliyetoka gerezani , utashangaa kovu na DOA jeusi limehamia kushoto.
Swali unawezaje kuhamisha kovu ?
Baada ya hapo endelea na vituko vya Mandela aliyetoka gerezani .
Mandela halisi ni yupi?
Basi kaa hivyo hivyo , ukikua utajiongeza.
Ushindi unakaribia
Unataka kupewa kifungu!?Mkuu Lisu akitaka kwenda kukagua soko kama nani?
Hapo hamna public toilet Polisi wajiandae kuwadaka wachafua mazingira akiwemo LisuMpo wanagapi unadhani?
Huyo tobo Lisu akijidai atalala hapo mpaka kesho asubuhi, nakesho jioni na itafika muda aombe mwenyewe kwenda nyumbani kwake kwa hiyari bila shurti.
Na hataina mtu anamjari.
Wewe siyo raia wa nchi hii kwanza. Tunakufiatilia kwa ukaribu sana.Niende somalia kisa nchi inaendeshwa na matapeli? Labda nitaenda somalia kujifunza jinsi ya kupigania haki dhidi ya matapeli wa ccm
Ndoto za Kiroba hizoLissu lazima awe Rais wa nchi hii
Lissu lazima awe Rais wa nchi hii
WAJAMENI MUNIOMBEEMpo wanagapi unadhani?
Huyo tobo Lisu akijidai atalala hapo mpaka kesho asubuhi, nakesho jioni na itafika muda aombe mwenyewe kwenda nyumbani kwake kwa hiyari bila shurti.
Na hataina mtu anamjari.
Acha ujinga wewe,mtu asisafiri be mnamfuatilia,unadhani ya peke yake,Kama kungekua na familia yako imeathirija na mabomu hayo usingelaani?Fuateni sheria bila shuruti
Uwe na akili japo kidogo Nani kavuruga amani,yeye anapita hao Askari wamelipua mabomu.aliyevuruga amani ni lissu au polisi?Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Fuateni sheria bila shuruti
Una uhakika?Hao polisi walikuwa kwenye msafara wa waziri mkuu sasa kama mtu wenu anataka kuvuruga basi lazima athibitiwe vilivyo!