CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

POLE sana,
Wee ndio kama mafarisayo, umekaririshwa porojo vichekesho. Ninaijua historia vizuri sana na sina wasiwasi kwa hilo.
Akili za kuambiwa changanya zako kinyume chake, ndio maana unatia huruma sana.
Historia imeshathibitisha kuwa, duniani mbinu za ukandamizaji na ubabaishaji hudumu kwa muda mfupi TU pamoja na kutegemea ubabe.
Na huo wa kwenu kama ule wa SA umefika mwisho, na hata kama hupendi kama makaburu wenzenu, hautalipa.
Mmejitahidi sana kuzusha na kubumba porojo nyingi kuhusu watu wenye UZALENDO wa kweli na vyama vyao, sasa hivi mechokwa.
Hamtaweza kuzuia mapenzi ya kweli kwa wananchi ambao wanateseka kwenye nchi yao, kwa hadithi za madaraja na midege isiyoleta nafuu katika maisha yao. Hata watoto wa chekechea huzichoka pipi za ahadi.
Mpo wanagapi unadhani?
Huyo tobo Lisu akijidai atalala hapo mpaka kesho asubuhi, nakesho jioni na itafika muda aombe mwenyewe kwenda nyumbani kwake kwa hiyari bila shurti.
Na hataina mtu anamjari.
 
Baadaye polisi mkoa wa Pwani walitoa maelezo yao pia kwa kutoa sababu ya kumzuia kiongozi huyu wa CHADEMA kufanya shughuli zake. Video ya polisi (RPC - Pwani) itafuata...

Ukiiona hiyo video ya RPC wa mkoa wa Pwani, utacheka na kushangaa.....

Maelezo ya RPC huyu ni very unprofessional, yaliyojaa hisia zisizo na support wala ukweli wa kisheria....

Kwa kweli polisi wetu hawa wanafanya kazi kwa mashinikizo ya kutumwa tu. Hawako huru kabisa ktk kutekeleza majukumu yao lakini cha ajaabu hata wao wanaona sawa tu na wanataka wawe ktk kifungo cha kutokuwa huru milele...

Polisi hawa wa ajabu sana...
 
Huyu Lissu anamdudu gani kichwani anaye msubua. Nimesema mdudu kichwani, si pengine. Hivi kipindi cha kampeni na ukiwa mgombea wa Urais ni kusanyiko gani ama kukutana na mtu/ watu ukaongea nao usizungumzie kampeni zinazo endelea. Na ukishazunguzia agenda ya kampeni tayari umefanya kampeni. Sasa yeye kafungiwa kufanya kampeni kwa nini asitulie adhabu ikaisha?

Ana washwawasha na nini huyu? Kajazwa ujinga na anataka kutuaminisha ujinga huu, kuwa yeye baada ya madhila yaliyomkuta basi he is immune haguswi, hamna anayeweza kumfanya lolote. Haya ni mawazo ya kijinga jinga sana. Eti hapo Kibaha alipozuiliwa anawambia waandishi wa habari chukueni video muoneshe dunia nzima ione. Kwa mawazo yake dunia nzima ikishaona ndio itakuwa nini sasa? Huyu mtu wa hovyo sana, huyu. Ajiulize hapo Venezuela tu inatosha. USA walipeleka mammluki wake wakashikwa kama vifaranga vya kuku. Walipolia kwioo USA ikawakana, na kusema haiwajui. Sembuse organized state/nation kama Tanzania?

Lissu kabembelezwa sana wakati umefika sasa wa kuacha kumdekeza asije akafanikiwa katika mpango wake na walio nyuma yake wa kuvuruga uchaguzi 2020.
 
Kumbe wewe uliangalia picha, Kwani picha haiziwezi kufanyiwa marekebisho na ikawa tofauti?
Jifunze utajua,
Anglia picha ya paji la USO wa Mandela , utaona kovu la DOA jeusi mkono wa kulia.
Harafu angalia picha ya paji la USO wa Mandela aliyetoka gerezani , utashangaa kovu na DOA jeusi limehamia kushoto.

Swali unawezaje kuhamisha kovu ?
Baada ya hapo endelea na vituko vya Mandela aliyetoka gerezani .

Mandela halisi ni yupi?
Basi kaa hivyo hivyo , ukikua utajiongeza.
 
Mpo wanagapi unadhani?
Huyo tobo Lisu akijidai atalala hapo mpaka kesho asubuhi, nakesho jioni na itafika muda aombe mwenyewe kwenda nyumbani kwake kwa hiyari bila shurti.
Na hataina mtu anamjari.
Hapo hamna public toilet Polisi wajiandae kuwadaka wachafua mazingira akiwemo Lisu
 
Niende somalia kisa nchi inaendeshwa na matapeli? Labda nitaenda somalia kujifunza jinsi ya kupigania haki dhidi ya matapeli wa ccm
Wewe siyo raia wa nchi hii kwanza. Tunakufiatilia kwa ukaribu sana.
 
Mi nimesikia kasema Kama tunaenda kwenye kikao Cha ndani au kutembelea sokoni na polisi hawajamuuliza chochote Sasa naona ushabiki umegeuza anaenda kukagua soko Kama vile ndo alichosema, Wakati mwingine ushabiki unaweza kuharibu hata kuleta maswali nini mtu anaongea tu utadhani watu hawafikirii unachoongea.
 
Mpo wanagapi unadhani?
Huyo tobo Lisu akijidai atalala hapo mpaka kesho asubuhi, nakesho jioni na itafika muda aombe mwenyewe kwenda nyumbani kwake kwa hiyari bila shurti.
Na hataina mtu anamjari.
WAJAMENI MUNIOMBEE
1601991954457.png
 
Fuateni sheria bila shuruti
Acha ujinga wewe,mtu asisafiri be mnamfuatilia,unadhani ya peke yake,Kama kungekua na familia yako imeathirija na mabomu hayo usingelaani?
Mataga sijui mkoje
 
Lissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Uwe na akili japo kidogo Nani kavuruga amani,yeye anapita hao Askari wamelipua mabomu.aliyevuruga amani ni lissu au polisi?
 
Back
Top Bottom