MBEYAILEMBO
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 136
- 58
Angalia we usije ukalishwa tango ngoshaWhat a stupid idiot, ati diaspora wamsaidie wakati yeye Tundu Lisu amevunja sheria na kufungiwa. Just eat your bullet.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia we usije ukalishwa tango ngoshaWhat a stupid idiot, ati diaspora wamsaidie wakati yeye Tundu Lisu amevunja sheria na kufungiwa. Just eat your bullet.
06 September 2020
Pwani
Tanzania
Tundu Lissu aongea toka Kiluvya mkoa wa Pwani
Acheni hizi stori zenu bhana!Kwenye sheria ni nani anapaswa kukagua soko? Ingekuwa anaenda kukagua kambi ya jeshi hapo ungekuwa na hoja. Soko ni eneo huru kila mtu anaweza kwenda, au kuna sheria maalumu za kwenda sokoni siku hizi?
Unafikiri ICC ni kama mahakama ya mbuzi?
91 posts since you joined! phew khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeAngalia we usije ukalishwa tango ngosha
Huyu jamaa huwa ni MPUMBAVU sana, anashinda Jamii Forums masaa 24 halafu anajiona tajiri, niliwahi kumwambia hakuna tajiri duniani anayeshinda jamii forums. Ni aina ya watu akinunua ka IST mtaani kwao akawa anaitwa boss au tajiri anajiona tajiri kweli.Mtanzania sio kama wewe uliyevamia na kuajiriwa na JF unafikiri mnaweza kufanya mnachotaka. Angalau unajifahamu wewe ni kapuku.
We kula kulala wapi Lissu kasema alikuwa anaenda kukagua soko we ni kiziwi?Acheni hizi stori zenu bhana!
Hivi Lisu tangu lini akaenda kukagua soko?
Mwambieni huyu mzee wa faragha aacje uhuni maana kuna wahuni zaidi yake!
Eti kukagua soko.
Kenge wewe sheria gani imevunjwa hapo??Fuateni sheria bila shuruti
Mkuu huyo Jane Lowassa,ndo wale wale wazee wakusapoti kila jambo liwe baya au zuri.Jane Lowassa,
Unaweza kufafanua kidogo fujo zipi hasa unazungumzia Jane Lowassa maana yuko Njiani kazuiliwa, wamemkuta haongei na mtu, hapigani na mtu.
dohtulane
What a stupid idiot, ati diaspora wamsaidie wakati yeye Tundu Lisu amevunja sheria na kufungiwa. Just eat your bullet.
Nani aone sasa....!?Hamna kitu kama hicho. Wajaribu waone.
Sasa akishinda jamii forum we inakuhusu nini?Huyu jamaa huwa ni MPUMBAVU sana, anashinda Jamii Forums masaa 24 halafu anajiona tajiri, niliwahi kukwambia hakuna tajiri duniani anayeshinda jamii forums. Ni aina ya watu akinunua ka IST mtaani kwao akawa anaitwa boss au tajiri anajiona tajiri kweli.
Mvurugaji wa amani siyo Lissu bali CCMLissu anapambana kwakila hali ili avuruge amani kisha yeye akimbiliezake ubelgiji akatulie zake.
Ungese ndio huo unaoongea wewe unafikiri wote ni wajinga, mwache alale hapo barabarani. Watanzania sio wajinga. Nenda kamsaidie sasa, unafikiri mipango yake haijulikani? Nchi ipo macho, ulitaka waje wakutafute wewe wakupe sababu?You are just a fool to begin with!
Unachotetea hapa ni ungese tu huna hoja!! Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume fake ya Maadili ya kutofanya Kampeni siku 7 na amekubali!!
Je, ni sheria ipi inayomzuia Tundu Lissu kusafiri kutoka sehemu 1 kwenda sehemu nyingine kisa tu KAFUNGIWA KUFANYA KAMPENI.
Na kwa ujinga huu wa Polisi ndiyo wanamtangaza Tundu Lissu vizuri zaidi na ajulikane zaidi,na kuwa maarufu zaidi kuliko Jiwe!
Usiwe mjinga! Kutembelea yeye kama nani?We kula kulala wapi Lissu kasema alikuwa anaenda kukagua soko we ni kiziwi?
Unajua tofauti kati ya kukagua na kutembelea?
Ulivyo mburula unadhani Lisu kusema anaenda kutembelea soko,anaenda kutembelea majengo.