CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Kwenye sheria ni nani anapaswa kukagua soko? Ingekuwa anaenda kukagua kambi ya jeshi hapo ungekuwa na hoja. Soko ni eneo huru kila mtu anaweza kwenda, au kuna sheria maalumu za kwenda sokoni siku hizi?
Acheni hizi stori zenu bhana!

Hivi Lisu tangu lini akaenda kukagua soko?

Mwambieni huyu mzee wa faragha aacje uhuni maana kuna wahuni zaidi yake!

Eti kukagua soko.
 
Mtanzania sio kama wewe uliyevamia na kuajiriwa na JF unafikiri mnaweza kufanya mnachotaka. Angalau unajifahamu wewe ni kapuku.
Huyu jamaa huwa ni MPUMBAVU sana, anashinda Jamii Forums masaa 24 halafu anajiona tajiri, niliwahi kumwambia hakuna tajiri duniani anayeshinda jamii forums. Ni aina ya watu akinunua ka IST mtaani kwao akawa anaitwa boss au tajiri anajiona tajiri kweli.
 
Acheni hizi stori zenu bhana!

Hivi Lisu tangu lini akaenda kukagua soko?

Mwambieni huyu mzee wa faragha aacje uhuni maana kuna wahuni zaidi yake!

Eti kukagua soko.
We kula kulala wapi Lissu kasema alikuwa anaenda kukagua soko we ni kiziwi?
Unajua tofauti kati ya kukagua na kutembelea?
Ulivyo mburula unadhani Lisu kusema anaenda kutembelea soko,anaenda kutembelea majengo.
 
Nimefika eneo la alipo rais Lissu, tuje wengi tumlinde na tulale hapa na rais wetu.

#NIYEYE kiboko ya ViChaa na WendaWazimu.
 
What a stupid idiot, ati diaspora wamsaidie wakati yeye Tundu Lisu amevunja sheria na kufungiwa. Just eat your bullet.

You are just a fool to begin with!
Unachotetea hapa ni ungese tu huna hoja!! Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume fake ya Maadili ya kutofanya Kampeni siku 7 na amekubali!!
Je, ni sheria ipi inayomzuia Tundu Lissu kusafiri kutoka sehemu 1 kwenda sehemu nyingine kisa tu KAFUNGIWA KUFANYA KAMPENI.

Na kwa ujinga huu wa Polisi ndiyo wanamtangaza Tundu Lissu vizuri zaidi na ajulikane zaidi,na kuwa maarufu zaidi kuliko Jiwe!
 
Huyu jamaa huwa ni MPUMBAVU sana, anashinda Jamii Forums masaa 24 halafu anajiona tajiri, niliwahi kukwambia hakuna tajiri duniani anayeshinda jamii forums. Ni aina ya watu akinunua ka IST mtaani kwao akawa anaitwa boss au tajiri anajiona tajiri kweli.
Sasa akishinda jamii forum we inakuhusu nini?
Au ulitaka ashinde na wewe ghetto akikupekecha?
Hivi huko Uvccm mna funza kichwani?
 
You are just a fool to begin with!
Unachotetea hapa ni ungese tu huna hoja!! Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume fake ya Maadili ya kutofanya Kampeni siku 7 na amekubali!!
Je, ni sheria ipi inayomzuia Tundu Lissu kusafiri kutoka sehemu 1 kwenda sehemu nyingine kisa tu KAFUNGIWA KUFANYA KAMPENI.

Na kwa ujinga huu wa Polisi ndiyo wanamtangaza Tundu Lissu vizuri zaidi na ajulikane zaidi,na kuwa maarufu zaidi kuliko Jiwe!
Ungese ndio huo unaoongea wewe unafikiri wote ni wajinga, mwache alale hapo barabarani. Watanzania sio wajinga. Nenda kamsaidie sasa, unafikiri mipango yake haijulikani? Nchi ipo macho, ulitaka waje wakutafute wewe wakupe sababu?

If you knew the authority is fake, why did you participate in the first place?
 
We kula kulala wapi Lissu kasema alikuwa anaenda kukagua soko we ni kiziwi?
Unajua tofauti kati ya kukagua na kutembelea?
Ulivyo mburula unadhani Lisu kusema anaenda kutembelea soko,anaenda kutembelea majengo.
Usiwe mjinga! Kutembelea yeye kama nani?
 
Back
Top Bottom