Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi,
Tatizo kubwa la vijana wa Chadema na wafuasi wao karibia wote sasa hivi wanameshikiwa akili na Lissu, Lema na wanaharakati huko Team Space kila siku mnajikuaanya na kulishwa pumba mnameza tu.
Hakuna taifa duniani ukigusa mambo yanayohatarisha ‘National Security’ serikali ikakuchekea. HAKUNA. Maslahi ya Taifa ni makubwa zaidi ya mtu au chama.
Kipindi Rais Samia ameingia madarakani tulisihi tumpe MUDA aweze kuweka uchumi na nchi katika mstari.
CHADEMA wakajazwa upepo na ‘Team Space’ kuanzisha vuguvugu la Katiba Mpya.
Kosa ni kujaribu ku-Sabotage Rais Samia ashindwe ku-control na kuendesha nchi.
Tuliwaonya mkakaidi.
Endeleeni tu kujazwa upepo na “Team Space wenzenu wanapiga pesa wakati nyie mnabatizwa kwa moto cha kushangaza anachoongea Lema na Lissu marufuku kupinga.