CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

Karibuni sana mwanza msisahau haya maneno yenu siku ya mkutano jukwaani tushangilie pamoja
Hivi hiyo Mwanza ni Mali ya ukoo wako? Maana naona unaitumia kutishia watu wanaotaka kufanya mikutano Yao halali, kama ni Jiji la familia yenu zungushieni ukuta muweke walinzi getini mtu yeyote msiyempenda asiingie

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini walishangilia? Je kilichokuwa kinawakera wakati wa utawala wa Magufuli kimetatuliwa au bado? Na je angekuwepo Magufuli mpaka leo mkutano wao wa hadhara hapo Mwanza?
 
Ebwana kumbe hawa wahuni bado wapo,hakuna chama cha upinzani Tanzania vyote ni ma agent wa cicim,chama ni chauma tu.acheni ubwege kushabikia vyama vya kipuuzi kama chadema.

Nilikuwa shabiki wa vyama vya upinzani tangu niko primary ila hawa wahuni hawana future zaidi ya maslahi binafsi toka niko dogo mbowe ndio MWENYEKITI mpaka leo nimezeeka ni kama yule profesa lipumbavu.
Chadema ya kweli ilikuwa ya dr. Kabouru na Zzk basi acheni kupoteza time.
 
Marehemu alitubu umwagaji damu alioufanya Kwa watu wasiokua na hatia? Hatubu mtu na hakuna unakachiweza kufanya labda kachomeke na mfu wenu huko motoni

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mama Janeth mwenyewe kanawiri kama shina la mgomba

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Who are you by the way. Kuna aliyekuzuia kujiunga na Dr. Slaa na ZKK, si wapo hai? Wewe inakuuma nini watu wakiiunga mkono Chadema? Si utashi wao? Fanya yako dogo, vinginevyo utapata pressure ya bure.
 
Tupo bize kujenga nchi wengine mpo bize kuabudu mfu kibaya zaidi mnataka tuache shughuli zetu tuungane nanyie kumwabudu mfu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sawa lakini naamini mtamtaja Jembe kwa mazuri tu.
Viongozi wako wanalijua hilo, nyie chawa uchwara mnajua pia lakini mnajifanya hamnazo.
Hakuna atakayemtaja mfu wenu Mungu alishaingilia kati wao wanakuja kuizungumzia nchi yetu Kwa ujumla. Halafu mbona unataka yazungumzwe mazuri tu? Zungumzia wewe hayo mazuri waache wengine wazungumzie mabaya Ili sisi tusiokua na mihemko ya kisiasa tuujue ukweli

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bila kusahau kula rambirambi za tetemeko Bukoba, kuwadhulumu wakulima wa korosho fedha zao Kisha kwenda kuwanyang'anya korosho zao na magari ya jeshi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…