CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

Robert Heriel atahutubia.

Wanatafuta visa huko Mwanza. Wanavijaribu vyombo vya Usalama na utayari wao, kwani wakipita Mwanza kwingine itakuwa na uafadhali.

....wanamwombea mtegemea msamaha, baada ya kuandaa mazingira hatarishi ambayo wana mwanza wanapitiwa nayo, kabla hajawasili?
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, huko CCM wapo hadi waliomwita chizi, Anthony Dialo
 
[emoji3][emoji3] Alafu muongee maneno kamahayo au yanayo fanana na hayo majukwaani ndio mtajua hamjui.
Aliyesema Magu chizi sio mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza?
 
Sijui niseme nini maana nilishawahi kuiunga mkono chadema. Haitatokea tena kwa chama chochote.
So iwe ccm au chadema sina chama chochote kwa sasa maana wote wanafiki.

Unashangilia kifo cha mtu? Hii kitu iliniuma sana unashangilia kama vile umeshiriki kumuua?

Jpm aliumiza sana watu wamekuja kumuelewa muda ushaenda. Ndo maana watu wanaumia mpaka sasa.

Mungu ilikuwa mapema huyu mtu kuondoka.hata kama ametangulia najua siku ipo nao watamfata.
 
Sema wanakuja wakati ambae bibi tozo ni zaidi ya zelesky maana yake mwanza hawampendi kuliko alie shangilia kifo cha mtukufu magu kwa wao waje lakni watembeleee mle kwenye hoja za mzee baba wakija na upumbavu wao wa katiba cjui nini hatutawaelewa wakati mchele kilo 3000, maharage kilo 3700
 
Hahaha waje tu
 
Wewe bodaboda mjonga usitegemee kuna wa kukupa hela. Sisi wapenzi wa demokrasia ndio tutakaowachangia pesa makamanda wa mstari wa mbele waendeleze mapambano ya maendeleo ya demokrasia.
Tayari tumeshaanza kulipwa ya mafuta
 
Aza wewe kwa kulaani kwa; Vitendo alivyofanya vya kuwapoteza watu na kuamuru wengine kumiminiwa marisasi ili wafe!
 
Vipi wana Mwanza sera mmezisikia? Rais Samia kashafanya kila kitu ambacho chadema walikua wanaahidi kipindi cha nyuma. Sasa hivi hawana cha kusema zaidi ya kutafuta jambo la uongo na kulisapoti
 
Vipi wana Mwanza sera mmezisikia? Rais Samia kashafanya kila kitu ambacho chadema walikua wanaahidi kipindi cha nyuma. Sasa hivi hawana cha kusema zaidi ya kutafuta jambo la uongo na kulisapoti
Hahahaha leo wameambulia aibu kubwa sana Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…