GE2025 CHADEMA: Tumepata taarifa ya Tundu Lissu kutaka kupewa sumu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Naomba kuuliza,hivi Uraisi unalipa sana,mbona hivi Tanzania yangu.Nyerere alisema Ikulu sio mahala pa kukimbilia.
 
Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutoke duniani yaani hata shetani mwenyewe akasome kwanza.
 
ni kuleteana taharuki....HABARI JUU YA HABARI! MUHESHIMIWA JAJI WAMEPANGA KUNIMALIZA😁
 
Chadema nendeni gerezani mkumuone mh lissu, ajue hizo njama Ili achukue tahadhari zaidi
 
Ee MUNGU yamekuwa hayo tena, tumefikia huko jamani! Tunusuru na hilo janga, mkono wako wenye nguvu usimame kati, Kwa jina la YESU lipitalo majina yote,
 
Shetani anazidi "kurandaranda" kumwaga damu!
Mungu wetu ni mwema sana, huu UOVU utarudi kwa "wapangaji" wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…