Hivi tuna uhakika kuwa huyu mama ameharibika kwa ajili ya madeni ya watu?vyombo vya uchunguzi vya ICC The Hague wapo Tanzania wanafuatilia nyendo zote za watesi
ibirisi wa ccm wanaoshirikiana na mbowe ambaye kamwandaa kileo wa chauma apeleke mtu jela kwenda kutelekeza huo unyama wa kishetani, Mbowe ana chuki kubwa na Lisu na ndoto yake ni kurejea chadema kwa niia haramu ya kishetaniKitendo cha Lisu kutokea gerezani akiwa na bashasha kinawaumiza sana majizi ya ccm. Na alipoamua kujitetea ndio imekuwa mbaya zaidi kwani anawamaliza mawakili vilaza wa ccm. Na anaivua nguo mahakama kuwa inapokea maelekezo kwa majizi ya ccm. Namna pekee ni kumuua Lisu baada ya dhalimu magu kushindwa kwa risasi.
Muungano upe watanganyika wanataabika wanateswa na mkoloni kaburu Dikteta toka ZanzibarIdi amin alikua mtu poa sana, sema mlikaririshwa uongo kwamba anakula nyama za watu.
Waweke mtanganyika, huu Muungano una maana gani sasa, si bora uvunjwe tu!
Njama zote zimesukwa na mbowe na Genge lake la G55 kwa kushirikiana na ibirisi wa ccmKuna mtu nilimsikia akisema kuhusu huu mpango, ilikuwa Mwezi Mei
Nilidhani ni habari za vijiweni, kumbe ilikuwa serious 🙌
Mungu atusaidie Kwa kweli
Muungano ukifa Tanganyika ikawa huru itapoaHii nchi haipoi
Utawala uliofitinikaJamaniii yanatoka wapi haya na nani atapata faida?
Mbowe ana Ndote za kurejea chadema kwa njia haramu za kishetani yeye ndiyo mratibu wa njama zote za kumuua LisuITABAKI KUWS UVUMI TU LAKINI
Hakuna wa kumdhuru Lissu.
Akidhuriwa nipigwe ban ya milele hapa jukwaani.
Mbowe asomewe Albadiri maana amekuwa na Roho mbaya ya kutishaMbeba maono hafi...!
Mengine anasingiziwa lakiniMbowe asomewe Albadiri maana amekuwa na Roho mbaya ya kutisha
Hz kelele tu!
Acheni sheria ichukue mkondo wake,
MNATAFUTA HURUMA EE?
Ukiambatanisha na ushahidi kidogo itakuwa vemaMbowe ana ndoto za kurejea Chadema kwa njia haramu za kishetani ndiyo maana hushiriki kila ubaya juu ya lisu
kwa lengo la kudaiveti madaMengine anasingiziwa lakini
Amina. Tunaomba mkono wa Mungu umfikie huyu muuaji wa watanganyika.Huyu mama alaniwe kwa damu ya YESU
Kuna wengine nyuma ya paziaJe wahusika ni wale Askari Magereza wanaoficha sura?
Mnafiki mkubwa huyo eti anajifanya kana kwamba hajui aiseeAtakayepata faida ni Mama
Wataanikwa wote!Kuna wengine nyuma ya pazia
Mateso manyanyaso kwa chadema ni mradi wa kupiga pesa huko kwa ibirisi wa ccm wanachofanya sasa humchochea Mama Bokasa Kaburu mkoloni toka Zanzibar afanye mambo ya hovyo , kisha wakiona moto umewaka wanaenda kuomba pesa kwa ajili ya kutuliza joto la kisiasa na kuidhoofisha chadema ndipo mama Dikteta pasipo kutafakari anawapa mabilioni wanagawana wenyewe wanachukua chao mapema kisha kidogo wanawanunua G55 toka kwa mbowe kuwasokomeza chauma ubwabwa chama chawa cha ibirisi ccm ambapo Amos makala na mbowe hula 10% kila pesa inayotoka ccm kwenda Chaumaccm ni miradi haramu ya kishetani na pia inatumika kumchuuza huyo Mkoloni toka Zanzibar aje kuenguliwa mbio za Urais kwa kukosa sifa za ubinadamu, wenye ccm yako hawataki tena huyo mama Kaburu mkoloni toka ZanzibarHivi tuna uhakika kuwa huyu mama ameharibika kwa ajili ya madeni ya watu?
1. Watu wanaofadhili projectsl zake binafsi na yeye kuwahakikishia kuwalindia miradi yao?
2. Sio presha za ahadi za watu zinamsumbua?
3. Kuwa aliowahidi kuwalinda kuitafuna nchi wanamsukuma kufanya unyama huu?