Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Ccm chama mfu , tumeccm , policcm ,tissccm msaada kila upande .Kumbukumbu hizi zimetunzwx kwa matumizi ya baadaye huko the Hague .
 
Lissu na CHADEMA sio wapuuzi kama ccm na vijana wake wa Lumumba ndio maana wameweza kuwa chama kikuu cha upinzani kilicho tishio na chenye nguvu sana
Kumbe Chadema ni cham cha upinzani na sio chama tawala. Chama Cha upinzani ni dhaifu haswaa
 
Kakati kuu wamekosea sana, sijajua samewaza nini kutoa uamuzi kama huo. Huu uamuzi utarudisha nyuma sana ari iliyopo
 
Good thinking 'hiyo kwa kinyakyusa tunaita strategy formulation'
 
Na Asante sana kk lakini hatuna chakufanya ilihali kunawatendaji wa vijiji hadi kàta kazi piakunabwanasamaki wote hawa wameshuhudia ambaokesho ndiomashahidi wangu hawakutoa msaada kwahalihiyo unawezanyanyua mguu kweli?
 
The beautiful ones are now born. Let's us support them to grow. Grow Lissu grow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…