Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Baadhi ya Wajumbe wa kamati kuu ni hawa
Mbowe,salum mwalim,heche,lissu
Cdm chama changu mmenikera sana
wewe ni mbwa mhunimuuaji mganga njaa, ole wako siku nikuone live ntakachokufany ahutasahau, shetani mkubwa wewe
Kamati kuu CDM hongera sana. Wanachama tumewaelewa.
Tunawajua nyinyi kwa u-turn ndiyo wenyewe!Hapana hiki ni chama makini sana na kinajua kwa hakika kifanye nini kwenye nini na wakati gani...
Mbowe alitakiwa kuomba radhi kwa kitendo cha mgombea wake kutoa kauli ya uongo unaolenga kuigombanisha tume na wananchi. Kutokuomba radhi kunaondoa credibility ya yote aliyoongea.Baada ya akusikiliza kwa makini yangu ni haya yafuatayo:-
1. Mhe. Mbowe unaposema chama chenye ushindani na CCM ni Chadema peke yake huoni unadhalilisha vyama vingine vya upinzani. Hata Chadema ilianza mdogo mdogo leo ipo hapo ilipofikia. MBONA UNAUA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI?...
Huna uwezo huo wewe! Mbona umejificha nyuma ya keyboard?wewe ni mbwa mhunimuuaji mganga njaa, ole wako siku nikuone live ntakachokufany ahutasahau, shetani mkubwa wewe
Mamaye? MamayoWameufyata mamaye na bado, ...
Lissu hana busaraWamemuaibisha lissu, lissu alishaweka msimamo juzi kuwa ataendelea na kampeni
Hiki ndicho kitu ninachokiona mimi ngoja tuone hayo majukumu watakayompangia kwa kesho yatakuwaje.Mimi nasema hivi hiki chama alistahili kukiongoza Tundu Lissu. Mbowe ni muoga sana zitafuata bla blah tu hapa hamna lolote.
We ndo ziro kabisa. Ukiwa mfanyabiashara huruhusiwi kufanya biashashra au akina Trump unajua walikua akina Nan beforeNi jambo jema!
Mbowe ni mfanyabiashara na Tundu Lisu ni mwanaharakati so maslahi yao siasani ni tofauti sana.
Maendeleo hayana vyama!
Hiki ndicho kitu ninachokiona mimi ngoja tuone hayo majukumu watakayompangia kwa kesho yatakuwaje.
Mkuu, Chadema ni chama cha kilaghai. Taarifa aliyotoa Mbowe leo imejaa ulaghai mtupu...Chadema inabidi wawe waangalifu.
..Tume na Msajili wana mamlaka makubwa sana.
Sasa kama hawajui kuandika? Pia fahamu kuwa kuna wengine walifanya makusudi kuchukua fomu za kugombea kupitia Chadema wakati hawana mpango wa kugombea wakawaingiza chaka!Tume imeendelea kuchelewesha majibu katika majimbo kadhaa, jimbo la Iramba Magharibi lenye mgombea Jesca Kishoa, dada makini kabisa, madiwani wake wote wameenguliwa katika uchaguzi kwa sababu ambazo hazina msingi kabisa....
Duuh,halafu kuna wajinga wanasema uchaguzi ni huru
Mkuu, Chadema ni chama cha kilaghai. Taarifa aliyotoa Mbowe leo imejaa ulaghai mtupu.
Swali la msingi Mbowe alitakiwa kujibu je, kauli ya Tundu Lissu kuhusu maDED kuitwa ikulu ina ukweli? Kama ni kauli ya uongo, je chama chake na mgombea wako tayari kuwaomba radhi watanzania?..but ccm is worse.
..kamati ya maadili imesheheni vibaraka vyama vibaraka wa ccm.
..nec yenyewe ina upendeleo wa waziwazi kwa ccm.
Linazamaje??Heheheeee Mbowe Jahazi linazama taratiiiibu 🤣🤣🤣
Kumbe ulitegemea aulizwe?Swali la msingi Mbowe alitakiwa kujibu je, kauli ya Tundu Lissu kuhusu maDED kuitwa ikulu ina ukweli? Kama ni kauli ya uongo, je chama chake na mgombea wako tayari kuwaomba radhi watanzania?
Waandishi nilitegemea waulize hilo.