Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Tume imeendelea kuchelewesha majibu katika majimbo kadhaa, jimbo la Iramba Magharibi lenye mgombea Jesca Kishoa, dada makini kabisa, madiwani wake wote wameenguliwa katika uchaguzi kwa sababu ambazo hazina msingi kabisa....

Duuh,halafu kuna wajinga wanasema uchaguzi ni huru
 
Baada ya akusikiliza kwa makini yangu ni haya yafuatayo:-
1. Mhe. Mbowe unaposema chama chenye ushindani na CCM ni Chadema peke yake huoni unadhalilisha vyama vingine vya upinzani. Hata Chadema ilianza mdogo mdogo leo ipo hapo ilipofikia. MBONA UNAUA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI?...
Mbowe alitakiwa kuomba radhi kwa kitendo cha mgombea wake kutoa kauli ya uongo unaolenga kuigombanisha tume na wananchi. Kutokuomba radhi kunaondoa credibility ya yote aliyoongea.
 
wewe ni mbwa mhunimuuaji mganga njaa, ole wako siku nikuone live ntakachokufany ahutasahau, shetani mkubwa wewe
Huna uwezo huo wewe! Mbona umejificha nyuma ya keyboard?
 
Tumemuona Rais mali za serikali, magari ya serikali yaliyobadilishwa rangi na kuwa rangi ya kijani na kuwekwa namba za chama cha mapinduzi, yale yote ni magari ya Ikulu.

CCM hawajaagiza gari hata moja, yale ni magari ya Ikulu na kama CCM wanapinga watoke hadharani na document hizi hapa........kwamba Magufuli ni mzalendo,mzalendo uchwara?
 
Mimi nasema hivi hiki chama alistahili kukiongoza Tundu Lissu. Mbowe ni muoga sana zitafuata bla blah tu hapa hamna lolote.
Hiki ndicho kitu ninachokiona mimi ngoja tuone hayo majukumu watakayompangia kwa kesho yatakuwaje.
 
Ni jambo jema!

Mbowe ni mfanyabiashara na Tundu Lisu ni mwanaharakati so maslahi yao siasani ni tofauti sana.

Maendeleo hayana vyama!
We ndo ziro kabisa. Ukiwa mfanyabiashara huruhusiwi kufanya biashashra au akina Trump unajua walikua akina Nan before
 
Tume imeendelea kuchelewesha majibu katika majimbo kadhaa, jimbo la Iramba Magharibi lenye mgombea Jesca Kishoa, dada makini kabisa, madiwani wake wote wameenguliwa katika uchaguzi kwa sababu ambazo hazina msingi kabisa....

Duuh,halafu kuna wajinga wanasema uchaguzi ni huru
Sasa kama hawajui kuandika? Pia fahamu kuwa kuna wengine walifanya makusudi kuchukua fomu za kugombea kupitia Chadema wakati hawana mpango wa kugombea wakawaingiza chaka!

Chadema siyo makini kwa kila jambo huwa wanasubiri wakati wa uchaguzi tu ndiyo wanakuwa active. Maandalizi yalikuwa zero hasa ngazi ya vijiji halafu kuna mtu anategemea kushinda!! Hiyo serikali utaiendeshaje wakati una wabunge sita??!! Ni vichekesho vya karne!!
 
..but ccm is worse.

..kamati ya maadili imesheheni vibaraka vyama vibaraka wa ccm.

..nec yenyewe ina upendeleo wa waziwazi kwa ccm.
Swali la msingi Mbowe alitakiwa kujibu je, kauli ya Tundu Lissu kuhusu maDED kuitwa ikulu ina ukweli? Kama ni kauli ya uongo, je chama chake na mgombea wako tayari kuwaomba radhi watanzania?

Waandishi nilitegemea waulize hilo.
 
Kumbe ulitegemea aulizwe?
 
Back
Top Bottom