Hii mkuu huwa ni mikwara tu. Juhudi za ukombozi huwa zinafanywa na wananchi wenyewe tusitegemee nchi za watu.Achana nao hawa!! Wanadhani wamewaweza Chadema kumbe chadema ndo wanazidi kuwaingiza kingi
Hawajui kumzuia Lissu kufanya kampeni tayari wameshajitumbukiza hapa👇
View attachment 1589943
sio nyie mlisema mtakinukisha?..wakati bado haujafika.
..wananchi wakichoshwa, cdm, atc,ccm,... wote watawekwa pembeni.
..tatizo ni kwamba ccm hawaioni HATARI hiyo.
Mbowe ana-target ya kujaza fuko la ruzuku tuHa ha ha wewe huijui Chadema. Viongozi wapi zaidi ya Mbowe?. Mbowe yupo ki maslahi zaidi, na ukiwa makini utaona Lissu anatoa Sera zake, chama kina Sera zake.
Huenda alifanya hivyo kuonyesha kutokukubaliana na kilichotokea..., ila am sure alisema mkutano ndio utajadili zaidi na yeye nina uhakika ni sehemu ya huo Mkutano..Kama ni hayo iweje mgombea yeye alkweka msimamo wa kuendelea? Ina maana alikuwa hajui hayo.unayosema?
You are sexless and brainlessHii mkuu huwa ni mikwara tu. Juhudi za ukombozi huwa zinafanywa na wananchi wenyewe tusitegemee nchi za watu.
Sudan, Syria, Uganda, Rwanda, Gabon, Cameroon, Iran, n.k huko kote chaguzi za wapinzani zinavurugwa kila mwaka na hakuna hatua zozote.
Siku hizi hao wakubwa wenyewe hawana umoja. Marekani na washirika wake wakisusa Russia na China wanatoa mpunga. Ndiyo maana hizo nchi nilizokutajia zinaendeleza ukandamizaji.You are sexless and brainless
Hivi ww unadhani hao mnaowaita mabeberu wakufunga mikono yao CCM itaendelea kuwepo?? waache kutoa pesa na misaada yao uone kama tunaweza survive hata miez miwili tu, taifa linaanguka, na serikali inakwenda na maji
Mimi siwezi kuwa pamoja na wauaji na wabaguzi CCM
Hapa nimekuelewa nje ndani mkuu!Kwanza CHADEMA siyo wanyonge kama unavyotaka kusema hapa CHADEMA wangekuwa wanyonge kwa haya mapigo waliyopigwa toka 2010 wasingefika hapa walipo.
Wananchi ambao tunadai kuchoshwa na ccm hatuonekani kuwa tayari kuondokana na huu unyama.
Hivyo wananchi sisi ndiyo wanyonge kuliko hao CHADEMA
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwani waliwai toaga tamko kama hili????muulizeni babu madevu si alienda had un na kwa papa akaunganisha had us Congress ,akawaaminisha atapewa inchi 😁😁yuko wapi saiv?
hao mabwana zenu ndo watakua wa kwanza kumpongeza jpm na uchaguzi at all. mark my words
Calm down we have planKuna harufu ya uwoga hapa.
Sasa mgombea ataanza saa ngapi kampeni za leo? Hapa tushapata majibu tayari. Kamati kuu imeufyata kwa tume.
Thanks. Waiting....!Calm down we have plan
we have strategy B
tupo vitani
Sema wewe. Ndio utachagua chama chakavu sio sisi!hawatokuwa na jipya zaidi ya kujaribu kuongea kauli za uchochezi tu. Sisi Tutasimamia penye Amani na maendeleo. CCM Tutaichagua
Watanzania tusiendelee kuamini kuwa siasa ni kwa wanasiasa ni maisha yetu ya kila siku.Hapa nimekuelewa nje ndani mkuu!
Ulichoandika ni ujinga naww unatambua sema umetumia kiungo kingine kufikiri ungetumia ubongo usingeandika huu ujinga sema ccm iko mioyoyoni mwa wala Nchi na wala VUMBI wasiojielewaCCM iko kwenye mioyo ya majority ya watanzania. Ni chama kinacholinda maslahi ya mtanzania.
Kuna msuguano mkubwa sana kati ya Lisu na Mbowe. Mbowe akimtuhumu Lissu kuwa amepewa pesa na watanzania wanaoishi nje ya nchi pia na Mabeberu yeye akiziminya na hakuzitoa ili zitumike katika kampeni. Nae Tundu akimtuhumu Mbowe kuwa pesa za michango ya wabunge za kila mwezi Mbowe hazitoi ili zitumike katika kampeni.Hakuna kitu ishatoka hiyo. Na hapo ni kama wamepingana na msimamo wa lissu ambaye alikuwa tayari leo kuendelea na kampeni
DD - Deal Done!! Imekwisha hiyoo! Magufuli anasubiri kuapishwa!!Kuna msuguano mkubwa sana kati ya Lisu na Mbowe. Mbowe akimtuhumu Lissu kuwa amepewa pesa na watanzania wanaoishi nje ya nchi pia na Mabeberu yeye akiziminya na hakuzitoa ili zitumike katika kampeni. Nae Tundu akimtuhumu Mbowe kuwa pesa za michango ya wabunge za kila mwezi Mbowe hazitoi ili zitumike katika kampeni.
Mvutano huo ndiyo unaopelekea utofauti wa majibu ya Mbowe na Lissu. Hata kampeni wamemsusia nae Tundu alisusa kwenda katika jimbo la Mbowe (Hai).
UKIMWANDIKA KWA MABAYA TUNDU UNAFUNGIWA JF