Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Achana nao hawa!! Wanadhani wamewaweza Chadema kumbe chadema ndo wanazidi kuwaingiza kingi
Hawajui kumzuia Lissu kufanya kampeni tayari wameshajitumbukiza hapa👇
View attachment 1589943
Hii mkuu huwa ni mikwara tu. Juhudi za ukombozi huwa zinafanywa na wananchi wenyewe tusitegemee nchi za watu.

Sudan, Syria, Uganda, Rwanda, Gabon, Cameroon, Iran, n.k huko kote chaguzi za wapinzani zinavurugwa kila mwaka na hakuna hatua zozote.
 
..wakati bado haujafika.

..wananchi wakichoshwa, cdm, atc,ccm,... wote watawekwa pembeni.

..tatizo ni kwamba ccm hawaioni HATARI hiyo.
sio nyie mlisema mtakinukisha?
huo wakat mnaosubiri hautafika kamwe
endeleeni kuota
 
Ha ha ha wewe huijui Chadema. Viongozi wapi zaidi ya Mbowe?. Mbowe yupo ki maslahi zaidi, na ukiwa makini utaona Lissu anatoa Sera zake, chama kina Sera zake.
Mbowe ana-target ya kujaza fuko la ruzuku tu
 
Kama ni hayo iweje mgombea yeye alkweka msimamo wa kuendelea? Ina maana alikuwa hajui hayo.unayosema?
Huenda alifanya hivyo kuonyesha kutokukubaliana na kilichotokea..., ila am sure alisema mkutano ndio utajadili zaidi na yeye nina uhakika ni sehemu ya huo Mkutano..
 
Hii mkuu huwa ni mikwara tu. Juhudi za ukombozi huwa zinafanywa na wananchi wenyewe tusitegemee nchi za watu.

Sudan, Syria, Uganda, Rwanda, Gabon, Cameroon, Iran, n.k huko kote chaguzi za wapinzani zinavurugwa kila mwaka na hakuna hatua zozote.
You are sexless and brainless

Hivi ww unadhani hao mnaowaita mabeberu wakufunga mikono yao CCM itaendelea kuwepo?? waache kutoa pesa na misaada yao uone kama tunaweza survive hata miez miwili tu, taifa linaanguka, na serikali inakwenda na maji
 
Siku hizi hao wakubwa wenyewe hawana umoja. Marekani na washirika wake wakisusa Russia na China wanatoa mpunga. Ndiyo maana hizo nchi nilizokutajia zinaendeleza ukandamizaji.
Russia na China ndiyo wanaoenda Sana kusaidia nchi zinazopinga demokrasia. Maana wao ndiyo vinara wa ukandamizaji
 
Mimi siwezi kuwa pamoja na wauaji na wabaguzi CCM

CCM haijaua mtu....ila ninyi tayari mmemwaga damu ya kijana kule Njombe na kijana mwingine kule Tunduma...mzee mmoja kule Pemba pia amekatwa panga msikitini na mtu mwingine kule ifakara amechomwa kisu...laana ya mliowaua inawaandama...mnatumia mbinu za kigaidi.

Amsterdam alishasema anataka damu imwagike watu waingie mitaani...yaani anataka vurugu. Amsterdam ni mchochezi ..ushahidi upo wa Kanda na video na mahojiano...naye ni mtuhumiwa wa mauaji Tanzania Kama alivyo Lissu..kwa hiyo mnavyojadili humu kuhusu mauaji na kuyafurahia na nyie no watuhumiwa...comments zenu za uchochezi zinahifadhiwa.

Lissu ni jeuri kwa sababu ametumwa afanye hivyo ili kjleta vurugu na uchaguzi...lakini uchaguzi utafanyika n hatakamatwa...kwenye uchaguzi atashindwa vibaya...na atakuwa frustrated

Kama Kuna watakaolala barabarani baada ya oktoba 28 hawatafika 100...ni vema na wewe uwemo kwenye hao 100 siyo unajificha nyuma ya keyboard na kubwabwaja upuuzi humu jf.

Uwe jasiri na usiwe mwoga kama kunguru unachekelea hatua za hao mabeberu utadhani utapewa Nini?! Hovyo kabisa.
 
Kwanza CHADEMA siyo wanyonge kama unavyotaka kusema hapa CHADEMA wangekuwa wanyonge kwa haya mapigo waliyopigwa toka 2010 wasingefika hapa walipo.

Wananchi ambao tunadai kuchoshwa na ccm hatuonekani kuwa tayari kuondokana na huu unyama.

Hivyo wananchi sisi ndiyo wanyonge kuliko hao CHADEMA

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hapa nimekuelewa nje ndani mkuu!
 
Unafikiri hawajui matendo yenu??? Unafikiri hawajui kuwa mnaua ili kutengeneza balance badae??? Unafikiri hawajui kuwa kila kesi inayotokea saivi mnawapa Chadema ili kubalance tuhuma???!

Subirini tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji111]
 
muulizeni babu madevu si alienda had un na kwa papa akaunganisha had us Congress ,akawaaminisha atapewa inchi 😁😁yuko wapi saiv?

hao mabwana zenu ndo watakua wa kwanza kumpongeza jpm na uchaguzi at all. mark my words
Kwani waliwai toaga tamko kama hili????

Mtajua hamjui mwaka huu
 
Kampeni sio uchaguzi.Unapoingia vitani inatakiwa umsome adui yako.Walichokifanya kamati kuu ya chadema kwa sasa ni sahihi.Walioshiriki uhuni ni tume ikishirikiana na vyama vingine mamluki pamoja na CCM.Huenda kisheria tume kupitia vyama mamluki Chadema wakawa wamebanwa.Tumia nguvu pale ambapo unayo Haki kisheria.Tundu Lissu apangiwe kazi nyingine.Suala la kukinukisha kura zikiibiwa liwe palepale.Wakati wa uchaguzi chadema wawe na kituo chao Cha tallying ambacho kitalindwa kwa nguvu zote.Uzembe usitanyike kama kipindi Cha mamvi!
 
Queen umekosa King nini? Njoo tukugegede huku basi!
 
Hapa nimekuelewa nje ndani mkuu!
Watanzania tusiendelee kuamini kuwa siasa ni kwa wanasiasa ni maisha yetu ya kila siku.

Tukinyimwa chaguo kwenye uchaguzi tumenyimwa haki yetu ya kikatiba kanyimwa mtanzania mwenzetu haki ya kikatiba.

Tunakuwa tumeshazibwa midomo tusiseme tena kuwa tunataka kuongozwa na nani kivipi.

Tukikaa kimya maana yake tunakubaliana kuongozwa na mtu yoyote lakini kibaya zaidi tunakubaliana kunyimwa haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwa wenzetu tunaopenda watuongoze.

Wavunja haki ni rahisi kumshughulikia mpigania haki mmoja kuliko kuwashughulikia wananchi wote ikitokea wananchi wakaamua kukataa kwa vitendo hakuna mtawala atakayeendelea kuchezea uchaguzi tena.

Tuamue wakati ni sasa ofisi za tume zilipo tunajua naamini tukipiga kambi tume ya uchaguzi siku moja tu tume itarejesha wagombea wote.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
CCM iko kwenye mioyo ya majority ya watanzania. Ni chama kinacholinda maslahi ya mtanzania.
Ulichoandika ni ujinga naww unatambua sema umetumia kiungo kingine kufikiri ungetumia ubongo usingeandika huu ujinga sema ccm iko mioyoyoni mwa wala Nchi na wala VUMBI wasiojielewa
 
Hakuna kitu ishatoka hiyo. Na hapo ni kama wamepingana na msimamo wa lissu ambaye alikuwa tayari leo kuendelea na kampeni
Kuna msuguano mkubwa sana kati ya Lisu na Mbowe. Mbowe akimtuhumu Lissu kuwa amepewa pesa na watanzania wanaoishi nje ya nchi pia na Mabeberu yeye akiziminya na hakuzitoa ili zitumike katika kampeni. Nae Tundu akimtuhumu Mbowe kuwa pesa za michango ya wabunge za kila mwezi Mbowe hazitoi ili zitumike katika kampeni.

Mvutano huo ndiyo unaopelekea utofauti wa majibu ya Mbowe na Lissu. Hata kampeni wamemsusia nae Tundu alisusa kwenda katika jimbo la Mbowe (Hai).

UKIMWANDIKA KWA MABAYA TUNDU UNAFUNGIWA JF
 
DD - Deal Done!! Imekwisha hiyoo! Magufuli anasubiri kuapishwa!!
Queen Esther
 
Back
Top Bottom