Ni busara hii hii ndiyo ilifanya 2015 tukaambiwa ooh Edo kashinda lkn muwe watulivu tutaenda ICJ mpk leo kimya.Watu wenye busara hawafanyi mambo kimihemko kama unavyowaza. Inaonekana wewe bado ni chalii ambaye haujakomaa kifikra.
Na moyo wake uendelee kuwa mgumu kama farao, ili apate pigo kubwa zaidi.Mgombea alishasema anaendelea na kampeni
Naona ni mwendo wa kucopy na kupest tuu,utaki tabu dada wa watu.CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Binafsi naona watapoteza kura nyingi sana za wale wanaohofia kura kuibiwa. Wengi waliamini ktk msimamo usiyo yumba wa Lisu na chama. Sasa kwa maamuzi haya stori zitakuwa zile zile za miaka yote.Ni jambo jema kutii adhabu ya NEC kuweka records sawa, kwa CDM na Lissu ni credit kura za huruma wasiokuwa na maamuzi.
Ni jambo jema!
Mbowe ni mfanyabiashara na Tundu Lisu ni mwanaharakati so maslahi yao siasani ni tofauti sana.
Maendeleo hayana vyama!
Hizi ndoto zenu bado mnazo, mlianza kuwa mbowe hatakubali tundu lissu kuwa mgombea akakubali, juzi mkaja na story kuwa mbowe hataki lissu afanye kampeni kilimanjaro, kilichotokea wenyewe hadi mkaamua kumtumia IGP. Sasa umekuja na ndoto nyingine.Lisu amemtega Mbowe. Ni ama aheshikike ama adhauraulike. Maamuzi ya mgombea tunayajua, maamuzi ya kamati yakiwa kinyume na yale ya mgombea Mbowe utapwaya sana
Usiudhike, Tundu ataendelea na ratiba zake za kampeni kama kawaidaNi busara hii hii ndiyo ilifanya 2015 tukaambiwa ooh Edo kashinda lkn muwe watulivu tutaenda ICJ. .....mpk leo kimya.
Sasa na uchaguzi huu chadema itapigwa (itaibiwa) mchana kweupee kisa busara.
Nafikiri viongozi wa Chadema Kuna kitu Cha ziada zaidi ya ukombozi wanachopigania. Wameniudhi sana, kwenda kinyume na Lisu.
Kamati kuu imekesha kwenye hiyo issue isingekesha Leo ungesikia robo tatu ya wajumbe wa kamati ya Chadema wamejiuzulu
Mbona unahamisha magoli? Mambo ya Akwiline yanatoka wapi hapa? Hoja ni kwann chama kiamue kutii adhabu haramu?Hivi wewe umefanya kipi cha maana kwenye nchi hii cha kuweza kuisumbua serikali hadi ufikie hatua ya kumuita Mbowe muoga, wakina Mbowe walipoongoza maandamano yaliyosababisha kifo cha Akwilina kule kinondoni na wewe ulikuwepo ?
Kwa hiyo Lissu amepuuziliwa mbali na chama?Eti harufu ya uwoga!! Ni mpumbavu tu ndo atakaye msuport lissu kwenye jinsi namna anavyo fanya siasa zake za personal attack minus sera ndani yake.
Alijisahau wenzie wakamkumbusha!Hapa usipa zungumzie ksbisa ,mme haribu Biashara zake nyingi kwa Sababu za kisiasa kinyume kabisa na Sheria.Punguza unafiki Mkuu.
Wewe una harufu ya intarahamwe, naona unajaribu kuchochea lakini hakuna reaction yoyote kutoka CDM. Don't waste your energy uselessly. WanaCDM ni makini zaidi yenu.Hapa hakuna la maana hata kama wamekesha. Mgombea alishasema anaendelea na kampeni, Sasa kamati kuu inakesha kwasabb gani? Mbowe mwoga Sana huyu
Barua imeshatolewa tayari inaonesha kampeni zake zitasimama mpk tarehe 9/10Usiudhike, Tundu ataendelea na ratiba zake za kampeni kama kawaida
Lissu angeendelea na kampeni mngekuwa tayari kumpigania pale atakapochukuliwa hatua zingine kinyume cha sheria ?Ni busara hii hii ndiyo ilifanya 2015 tukaambiwa ooh Edo kashinda lkn muwe watulivu tutaenda ICJ. .....mpk leo kimya.
Sasa na uchaguzi huu chadema itapigwa (itaibiwa) mchana kweupee kisa busara.
Nafikiri viongozi wa Chadema Kuna kitu Cha ziada zaidi ya ukombozi wanachopigania. Wameniudhi sana, kwenda kinyume na Lisu.
Acha utoto na ujinga, Lisu siyo mgombea binafsi.Kwahiyo Lisu amepuuziliwa mbali na chama?
Kama chama hakimuamini mgombea kiasi hiki, kuna sababu ya wananchi kumuamini ?Wewe una harufu ya intarahamwe, naona unajaribu kuchochea lakini hakuna reaction yoyote kutoka CDM. Don't waste your energy uselessly. WanaCDM ni makini zaidi yenu.