Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Mzee wa
Lissu ajiandae kuanzisha chama chake. Mwenyekiti ashasema, wengine lazima mtii bila shurti.
Mwaka huu Chadema ndo akili kubwa na CCM akili sisimizi. Mnaingizwa kingi bila kunitambua. Subirini matokeo
BFCCAE10-9050-4174-92A0-310780DEE85F.jpeg
 
Attachments

  • 58A3F310-A67B-4AB2-ABE6-F483E02FDED9.jpeg
    58A3F310-A67B-4AB2-ABE6-F483E02FDED9.jpeg
    179.8 KB · Views: 1
Mbowe ameshashindwa kumcontrol Lissu, yaani Lissu anajifanya yuko juu kuliko chadema, hata hii press ya leo ataishia kumtetea mtu mbishi na mwenye lengo la kuleta mauaji nchini kibaraka wa wazungu, Bora hata angegombea Mbowe mwenyewe ana ka uzalendo kidogo
Hangaikeni na yaliyo ndani ya chama chenu,Kwanza baadae msilala Mike mlipoteza muda kwa ajili ya jirani.
 
Ni busara hii hii ndiyo ilifanya 2015 tukaambiwa ooh Edo kashinda lkn muwe watulivu tutaenda ICJ. .....mpk leo kimya.

Sasa na uchaguzi huu chadema itapigwa (itaibiwa) mchana kweupee kisa busara.

Nafikiri viongozi wa Chadema Kuna kitu Cha ziada zaidi ya ukombozi wanachopigania. Wameniudhi sana, kwenda kinyume na Lisu.
Never fight a loosing battle..., Haya wangelazimisha kampeni then what ?, si wangepewa kesi ya makosa zaidi na mikutano kutokea fujo as well as watu zaidi kujikuta ndani? (what will they have achieved then)?

Kweli wanaonewa na kila mtu anaona siku saba sio nyingi waendeleze kampeni kivingine, kwa ambao hawajafungiwa kuelezea manyanyaso hayo..., Tume imefanya kosa na kujipunguzia credibility, hakuna sababu na hawa nao kuonekana ni watukutu na kuwapa Tume justification...

"If you sit by the river long enough, you will see the body of your enemy float by."
 
Ha ha ha wewe huijui Chadema. Viongozi wapi zaidi ya Mbowe?. Mbowe yupo ki maslahi zaidi, na ukiwa makini utaona Lissu anatoa Sera zake, chama kina Sera zake.
 
Never fight a loosing battle..., Haya wangelazimisha kampeni then what ?, si wangepewa kesi ya makosa zaidi na mikutano kutokea fujo as well as watu zaidi kujikuta ndani? (what will they have achieved then)?

Kweli wanaonewa na kila mtu anaona siku saba sio nyingi waendeleze kampeni kivingine, kwa ambao hawajafungiwa kuelezea manyanyaso hayo..., Tume imefanya kosa na kujipunguzia credibility, hakuna sababu na hawa nao kuonekana ni watukutu na kuwapa Tume justification...

"If you sit by the river long enough, you will see the body of your enemy float by."
CCM wanajiona wameshinda Ila uamuzi wa Chadema leo ni kisu cha mgongoni kwa CCM na tume yao!!

kumzuia Lissu kufanya kampeni ni sawa na kujipiga risasi kwa magufuli na serikali yake

252ED074-EF2F-43EE-85D8-79C871AC8A90.jpeg
 
Achana nao hawa!! Wanadhani wamewaweza Chadema kumbe chadema ndo wanazidi kuwaingiza kingi
Hawajui kumzuia Lissu kufanya kampeni tayari wameshajitumbukiza hapa👇
View attachment 1589943
Ngoja tuone. Pengine wao wana habari za kina kuliko tunavyojua. Ngoja tusikilizie habari ya kesho kuhusu Lissu majukumu atakayopangiwa.
 
Never fight a loosing battle..., Haya wangelazimisha kampeni then what ?, si wangepewa kesi ya makosa zaidi na mikutano kutokea fujo as well as watu zaidi kujikuta ndani? (what will they have achieved then)?

Kweli wanaonewa na kila mtu anaona siku saba sio nyingi waendeleze kampeni kivingine, kwa ambao hawajafungiwa kuelezea manyanyaso hayo..., Tume imefanya kosa na kujipunguzia credibility, hakuna sababu na hawa nao kuonekana ni watukutu na kuwapa Tume justification...

"If you sit by the river long enough, you will see the body of your enemy float by."
Wangelazimisha mikutano ni kosa la kihaini. Kwahiyo kesi yao isingekuwa na dhamana.
 
Sasa mkuu kama unachokisema hapa ni kweli,jaribuni kutafuta namna ya kupata haki yenu kwa vyombo husika/mamlaka za juu,

Ujinga huo unafanywa na baadhi ya watendaji kwa tamaa zao binafsi na si kwamba wanafanya hivyo kwa mujibu wa sheria,

Fuatilieni bila kuchoka mtapata tu haki yenu na hao jamaa watachukuliwa hatua

Hivi unadhani anachosema huyo jamaa hakifahamiki na hizo ngazi za juu? Hizo ngazi za juu wanajua sana na wao ni sehemu ya hayo maagizo ili wapate hela.
 
Kama ni hayo iweje mgombea yeye alkweka msimamo wa kuendelea? Ina maana alikuwa hajui hayo.unayosema?
Never fight a loosing battle..., Haya wangelazimisha kampeni then what ?, si wangepewa kesi ya makosa zaidi na mikutano kutokea fujo as well as watu zaidi kujikuta ndani? (what will they have achieved then)?

Kweli wanaonewa na kila mtu anaona siku saba sio nyingi waendeleze kampeni kivingine, kwa ambao hawajafungiwa kuelezea manyanyaso hayo..., Tume imefanya kosa na kujipunguzia credibility, hakuna sababu na hawa nao kuonekana ni watukutu na kuwapa Tume justification...

"If you sit by the river long enough, you will see the body of your enemy float by."
 
Achana nao hawa!! Wanadhani wamewaweza Chadema kumbe chadema ndo wanazidi kuwaingiza kingi
Hawajui kumzuia Lissu kufanya kampeni tayari wameshajitumbukiza hapa👇
View attachment 1589943
muulizeni babu madevu si alienda had un na kwa papa akaunganisha had us Congress ,akawaaminisha atapewa inchi 😁😁yuko wapi saiv?

hao mabwana zenu ndo watakua wa kwanza kumpongeza jpm na uchaguzi at all. mark my words
 
Sasa kama kila ujinga uanofanywa kwa chadema unakubaliwa Kuna matumaini ya kushika dola? Au lengo siyo kuitoa ccm, bali ni kupata ruzuku?

..wakati bado haujafika.

..wananchi wakichoshwa, cdm, act,ccm,... wote watawekwa pembeni.

..tatizo ni kwamba ccm hawaioni HATARI hiyo.
 
Back
Top Bottom