n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Kunguru mwoga........Ni uamuzi wa busara sana. Walichokua wanakitafuta mabwana wale hawajakipata na hawatakipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunguru mwoga........Ni uamuzi wa busara sana. Walichokua wanakitafuta mabwana wale hawajakipata na hawatakipata
Kikubwa ni uhai hayo mengine mbwembwe tu na kupandisha joto.Kunguru mwoga........
Utopolo upo CCM watanzania wameamka wanajua CCM inacheza faulu za kishamba sana jiandaeni kurejea chato kisha kushinda mahakamani kwa ufisadi wa chato Airport ununuzi wa Ndege kifisadi na kurejesha trilion 1.5 mliyokwapua kisha kumtoa CAG kafara.Sio kitoto kiasi hicho, kwa utopolo kama chama cha Mbowe. Urais mtaishia kuona kwenye TV tu, endeleeni kunywa faru John zenu.
I have a different perspective. They have tons of damaging information about him. He is a kompromat.Mbowe ni Mzalendo, hayuko tayari kuona damu za watanzania zinamwagika sababu ya kulazimisha kuingia Ikulu. Historia ya Tanzania itamkumbuka daima. Sio wale jamaa na Lisu wao wanaotamba kuingiza nchi kwenye machafuko wabebe madini na rasilimali za Tanzania.
Queen Esther
Wewe ina maana hujui, aisee wewe kweli umechelewa.Watanzania umekutana nao wapi wakakwambia wataichagua ccm?
Usihusianishe mambo ya dini na siasa, tabia ya kubaguana kidini ni tabia mbovu kabisa, siungani na wewe katika hiyo dhambi.Az
Aziz katika ukafiri wa kiwango cha lami.Muslims always wanasimamia HAKI. Je inachofanya tume ni haki?Kama hilo la kutumia watumishi na mali za umma.
Asalaam Waleykum
Acha hizo upinzani upo moyoni kwa CCM pia ndugu zao wameporwa mali zao wamebambikiwa kesi CCM wengi hawampendi mtukufu magufuli bali huvaa minguo ya CCM kulinda mali zao wasibambikiwe kesiSasa unadhani kwa maamuzi utopolo kama haya ya kamati utaitoa ccm?
Kura zitaibiwa mchana kweupeee na chama kitakuja na maamuzi utopolo mengine tena. Nyota njema huonekana asubuhi tu
Wewe ni zaidi ya kafir.Usihusianishe mambo ya dini na siasa, tabia ya kubaguana kidini ni tabia mbovu kabisa, siungani na wewe katika hiyo dhambi.
Lisu kapata alichostahili kukipata kufanya kampeni hadi saa1 usiku unadhani ni sahihi kwa mujibu wa sheria?
Asalaam alaykum
Wewe ulimsikiaje mgombea??? Maana wengine wote tulimsikia akisema msimamo wa chama ndo utakuwa msimamo wake!!Chadema mmekamatika, ninyi hamnaga busara kama mnajua mko sahihi. Mgombea anasema lake, mwenye chama anasema lake upuuzi mtupu. Hamjajipanga kushinda, na mjiandae kujiunga na wenzenu TLP.
Kweli kabisaKumchinja Kobe (tumeccm) kunahitaji timing muda ukifika wananchi huwa hawaambiwi cha kufanya .
Lisu hajapata alichositahili acha ufala wewe kampeni hakufanya usiku zaidi ya kuwaomba watu watawanyike waende nyumbani acha kukariri upumbavu wa polepole aliyeeneza uzushi kuwa Lisu kafanya kampeni usiku, huko CCM kuna watu wepesi wa kuamini uongo wa polepole utazani hawana Ubongo kichwani.Usihusianishe mambo ya dini na siasa, tabia ya kubaguana kidini ni tabia mbovu kabisa, siungani na wewe katika hiyo dhambi.
Lisu kapata alichostahili kukipata kufanya kampeni hadi saa1 usiku unadhani ni sahihi kwa mujibu wa sheria?
Asalaam alaykum
Kura atakosa lkn kuiba je? Nani atamzidi mahesabu wakati vyombo vya dola viko kwenye kiganja?Acha hizo upinzani upo moyoni kwa CCM pia ndugu zao wameporwa mali zao wamebambikiwa kesi CCM wengi hawampendi mtukufu magufuli bali huvaa minguo ya CCM kulinda mali zao wasibambikiwe kesi
Wewe mwenyewe ni mpuuzi unawezaje kujua upuuzi?Chadema mmekamatika, ninyi hamnaga busara kama mnajua mko sahihi. Mgombea anasema lake, mwenye chama anasema lake upuuzi mtupu. Hamjajipanga kushinda, na mjiandae kujiunga na wenzenu TLP.
Vyombo vya dola vimegawanyika moyoni mfano IGP yeye kajitoa fahamu lakini ma OCD na ma RPC baadhi wapo makini zaidi hawataki kwenda ICC kizembe, taasisi zingine wametaabika miaka mitano bila nyongeza za mishahara machoni wanazuga kuwa na CCM lakini moyoni hawaitaki CCM kabsaKura atakosa lkn kuiba je? Nani atamzidi mahesabu wakati vyombo vya dola viko kwenye kiganja?
Jamaa huyu jiwe siyo kama Kikwete ameimarisha na kuvisimamia vizuri vyombo vya dola. Anayethubutu kumzunguka anaumbuka asubuhi na mapema. Kwahiyo watendaji wanaogopa kinoma.
Vipi yale maandamano ya UKUTA wewe ulitoaga ushauri gani? Maana yale ya mangekimambi ndio hukutokea kabisaaaNi busara hii hii ndiyo ilifanya 2015 tukaambiwa ooh Edo kashinda lkn muwe watulivu tutaenda ICJ. .....mpk leo kimya.
Sasa na uchaguzi huu chadema itapigwa (itaibiwa) mchana kweupee kisa busara.
Nafikiri viongozi wa Chadema Kuna kitu Cha ziada zaidi ya ukombozi wanachopigania. Wameniudhi sana, kwenda kinyume na Lisu.
Sema nitamchagua sio tutamchagua.. Usitusemee wengineMzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
Asante kwa ubuyu huuVyombo vya dola vimegawanyika moyoni mfano IGP yeye kajitoa fahamu lakini ma OCD na ma RPC baadhi wapo makini zaidi hawataki kwenda ICC kizembe, taasisi zingine wametaabika miaka mitano bila nyongeza za mishahara machoni wanazuga kuwa na CCM lakini moyoni hawaitaki CCM kabsa