Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani pesa za viwanda pesa zote walizowapora wafanyabiashara kwa kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi kachukua anazitumia kudidimiza demokrasia kuihujumu kuidhoofisha chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji mwingi wa kila aina, hataki maendeleo kabsa, hayo maendeleo kidogo anayodai ya flyover SGR ndege ujenzi wa Reli yamejaa 10% ufisadi mwingi pesa zote zinazunguka zinamrudia yeye kwa kuwa kampuni alizozipa tenda ni zake na ndugu na rafiki zake, utawala huu wa mtukufu kuna ufisadi wa kutisha mno ndiyo maana alimtoa CAG kafara kuficha madhaifu madhambi yake lakini CCM wenye uchungu hutoa siri zake zote hata Bashite sasa anatoa siri nyingi zinazovuja kupitia Le mutuz na cyprian marafiki wakubwa wa Bashite licha ya kuwa nje ya Ulingo sasa, CCM ni ile ile ukoo wa panya hakuna malaika wote ni wapigaji watupu.
 
Nyie ndumilakuwili, hata mkiungana na mabeberu zenu ccm itawagaragaza vibaya mno.
 
Vipi yale maandamano ya UKUTA wewe ulitoaga ushauri gani? Maana yale ya mangekimambi ndio hukutokea kabisaaa
Ila sasa unawaambia viongozi wako wanakuudhi..... hizi nguvu za nyuma ya keybords buana😁😁😁
Mm nilidhani tunaanzia hapa kufanya Mambo mapya. Kumbe mtindo ni ule ule mwaka ndiyo mpya.
 
Heko Mbowe ni maamuzi ya busara, usimpe sababu mbaya wako
 
Nyie ndumilakuwili, hata mkiungana na mabeberu zenu ccm itawagaragaza vibaya mno.
CCM wakienda kuomba omba misaada ulaya huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike?
 
Demokrasia imekwama sio tu kwa chama tawala bali na vile vyama viranja vya upinzani.
Tukisubiri kuletewa demokrasia na hawa wachezaji butu tutachelewa kuchukuwa kombe.
Turudi kwanza kwenye drawing board ya demokrasia na katiba.
Tukimaliza hilo ndio tufanye Uchaguzi mkuu.
Vyama vya siasa kwa sasa sio muarobaini wa uchaguzi huru na haki ni maigizo tu.
CCM nayo ni kubwa mno kujisafisha na hilo ni tatizo kubwa kwani yeye kageuka kama bidhaa za Azam yupo kila pahala.
Mchango wa mgombea binafsi ni muhimu kwa kuwaengua vyama maslahi.
HIzo nyege za wapinzani kujitundika kwenye uchaguzi mkuu kila miaka mitano huku wakijua wanaabulia patupu, bila tume huru ni fedheha kwa umma wa Tanzania.

..kuna UKWELI ktk unachokisema.

..kwamba WANANCHI wakichoka watatafuta HAKI nje ya vyama vya siasa, na tume ya uchaguzi.
 
Mm nilidhani tunaanzia hapa kufanya Mambo mapya. Kumbe mtindo ni ule ule mwaka ndiyo mpya.
Mda huu chadema wautumie kuwapa taarifa za wahalifu wavurugaji wa Amani wote toka CCM kuwa ICC haipo mbali nao wajue mapema kuwa mara baada ya uchaguzi lazima wafikishwe mahakama ya ICC The Hague
 
Maalim seif anachukua visiwa saa 2 asubuhi tarehe 28.10.2020
 
Lissu anachukua nchi saa 5 asubuhi watanzania wako peopleeeeeees.
 
..kuna UKWELI ktk unachokisema.

..kwamba WANANCHI wakichoka watatafuta HAKI nje ya vyama vya siasa, na tume ya uchaguzi.
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho kila ubaya una mwisho wake ujue Tanzania ya sasa hakuna Amani bali kuna uvumilivu ni kisiwa cha uvumilivu lakini uvumilivu nao inaelekea mwisho mwisho na usiombe Nchi ilivyokuwa na uvumilivu ukaingia kwenye machafuko huwa balaa kupita Maelezo
 
Lissu anachukua nchi saa 5 asubuhi watanzania wako peopleeeeeees.
Na hicho ndicho humkosesha usingizi mtukufu magufuli kwani ana hofu kubwa ya kuvuliwa kinga kisha kufikishwa mahakamani kwa kutumia madaraka yake vibaya kuwapora wafanyabiashara mali pesa zao kuwabambikia kesi na unyanyasaji uonevu uovu mwingi aliowafanyia wapinzani.
 
Polepole na Bashiru wamekalia kuti kavu na wanaona kila dalili kuwa CCM inaenda kushindwa wanachokifanya sasa ni kujiandalia mafao yao mapema kwa njia za kijanja wametengeneza Bajeti kubwa ya kudhoofisha kuihujumu chadema wamepewa pesa nyingi tayari wanachofanya watazuga kuiua chadema lakini kimsingi hiyo pesa wanaitaka wabaki nayo iwe ni kiinua mgongo chao huko mbeleni, polepole anaandaa propaganda nyingi kila kona Nchini kote zisambazwe ili aonekane katumia hiyo pesa, wajanja wachache huko CCM wamejipanga mapema kuchukua chao kabla jumba bovu halijawaangukia.
 
Bashite sasa ana hasira nyingi kuliko kipindi chochote ukikaa nae ukamgusia mtukufu magufuli anaropoka vingi na ndipo wengi huenda kuokota siri na madhambi mengi waliyofanya pamoja
 
Mbowe akiendelea na siasa zake za kuwafurahisha maccm tutamchoka siku si nyingi huwa anapenda kufanya compromise bila sababu za msingi akiamini ccm wanaweza mpa ushindi wa mezani.
Pili yeye kutokukubalika kwake kwenye urais isiwe shida kwa wengine kisa mwenyekiti,na ashukuru mwaka huu aligombea TL ,mngeweka garasa lingine lolote sampuli ya kina Lowassa tungewazika rasmi,TL karudisha matumaini na uhai wa chama sasa hujuma hizi sio sawa,ikumbukwe ana shutuma za kumkacha mgombea wetu na Yuko kimya
 
Mbowe inapokuja kwny Misimamo kali hua anakua ni bure yani bure kabisaa, analetaga busara zake za kijinga kijinga utasikia tu anasema ooh uvumilivu una mwisho blah blah blah.

Kwa hii mistake aliyoifanya,CCM wako wanagonga cheers sasa hivi maana wanajua hata kwny uchaguzi mchakachuo utakuwepo kama kawaida na Mbowe ataishia kutoa tamko la kulaani huku akisema tu No fear,No hate yaani ujinga mtupu.

CCM lugha kama za Lissu ndio hua wanaielewa vzr,ila hizi lugha za Mbowe za kubembelezana wanamuona boya tu.
 
Mkuu si mkinukishe? Kwani mnasubiri Mbowe atamke?
 
Hii biznec as usual ya kulalamika bila kuchukua hatua siikubali hili la kuzuia wagombea inamaana hata mahakamani hairuhusiwi kwenda kutafuta haki na kuzuia mikutano ya kampeni kwenye majimbo hayo na kata?
 
Mkuu si mkinukishe? Kwani mnasubiri Mbowe atamke?
Mzee baba Bado tunaiboresha hii kitu hapo chini mpk iwe boxer.
Screenshot_2020-10-01-08-03-31-1.jpg
 
Kuna harufu ya uwoga hapa.

Sasa mgombea ataanza saa ngapi kampeni za leo? Hapa tushapata majibu tayari. Kamati kuu imeufyata kwa tume.
In short Tundu Lissu anaendelea na Kampeni kwa mgongo wa Makamu Mwenyekiti,ataendelea kuwanadi wagombea wa Ubunge
 
Back
Top Bottom