minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani pesa za viwanda pesa zote walizowapora wafanyabiashara kwa kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi kachukua anazitumia kudidimiza demokrasia kuihujumu kuidhoofisha chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji mwingi wa kila aina, hataki maendeleo kabsa, hayo maendeleo kidogo anayodai ya flyover SGR ndege ujenzi wa Reli yamejaa 10% ufisadi mwingi pesa zote zinazunguka zinamrudia yeye kwa kuwa kampuni alizozipa tenda ni zake na ndugu na rafiki zake, utawala huu wa mtukufu kuna ufisadi wa kutisha mno ndiyo maana alimtoa CAG kafara kuficha madhaifu madhambi yake lakini CCM wenye uchungu hutoa siri zake zote hata Bashite sasa anatoa siri nyingi zinazovuja kupitia Le mutuz na cyprian marafiki wakubwa wa Bashite licha ya kuwa nje ya Ulingo sasa, CCM ni ile ile ukoo wa panya hakuna malaika wote ni wapigaji watupu.