Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.
Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.
Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.
Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.
CHADEMA twende kazini.