Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #21
Kwa laana hii mmhView attachment 1468478
CHADEMA a collection of militant psycopaths.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa laana hii mmhView attachment 1468478
Nadhani ndiyo advantage kwenu mpite kirahisi!!?? Au unataka mgombea wa CDM awe na sifa kuliko mgombea wenu,?
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.
Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.
Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.
Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.
CHADEM twende kazini.
Una ujinga waasiliNimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.
Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.
Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.
Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.
CHADEM twende kazini.
Baada ya Magufuli kuweza kuwa Rais kwa ushawishi wa push up hakuna mtanzania yeyote wa elimu yoyote atakayeshindwaNimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.
Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.
Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.
Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.
CHADEM twende kazini.
Hahahahaaaaa, kumbe wengi tume muelewa.Kuna mtu umemsema kabisa sjui posho kama utapewa
Kwani 2020 Chadema hawamsimamishi wa kutokea CCM? Maana Membe si yupo?Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.
Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.
Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.
Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.
CHADEM twende kazini.
Duh, huyu mama anacheza propaganda mbaya sana, alianza na udini.Sasa ameanza kudhalilisha wenzio.Angeambiwa athibitishe...Kwa laana hii mmhView attachment 1468478
Well said lakini hebu angalia mbili za mwanzo.Je kwa sasa (awamu hii) hoja hizo mbili zinazingatiwa?Kinachoweza kumbeba ni boldness na ability ya kusoma na kuelewa mambo.Huyu anaweza kuwa game changer wakati wa kampeni kwa ujasiri wake hata kama hatashinda.Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.
Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.
Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.
Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.
CHADEM twende kazini.
Kwangu lissu nampa 90%, zitto nampa 80%Kwa wanasiasa waliopo Zitto is the best,,ingawa mara chache ana jaziba lakini ni mtu makini,anajua kujieleza kwa lugha rahisi na kueleweka.Ni aina ya mwanasiasa mwenye maarifa ya kutosha.
My favourite kwa upande wa opposition.Huyu anatakiwa a reserve energy zake kwa 2025 wakati CCM wana introduce someone new!!Uchaguzi unaokuja October by hooks and crooks ni JPM ingawa asivyopenda challenge ataumia sana wakati wa kampeni.Kwa wanasiasa waliopo Zitto is the best,,ingawa mara chache ana jaziba lakini ni mtu makini,anajua kujieleza kwa lugha rahisi na kueleweka.Ni aina ya mwanasiasa mwenye maarifa ya kutosha.
Unamsema Magufuli a.k.a. Kivuruge au Lissu? Naona sifa zote zinaangukia kwa Magufuli.Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.
Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.
Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.
Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.
Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.
Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.
CHADEM twende kazini.
Nchi hii hata Kingwendu anaweza kuwa Rais.Jikite kwenye issue ya Lissu.
Hana qualities za kuongoza .