The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Kwa wanasiasa waliopo Zitto is the best,,ingawa mara chache ana jaziba lakini ni mtu makini,anajua kujieleza kwa lugha rahisi na kueleweka.Ni aina ya mwanasiasa mwenye maarifa ya kutosha.
Both Tundu & Zito are best....
Lakini, Kila mmoja wa hawa ana "strengths" na "weaknesses"kama tu ambavyo hakuna binadamu katika dunia hii aliye totally hana uzuri ama ubaya....
Tukiwalinganisha hawa kwa "possibilities" za kupeperusha bendera kwenye nafasi kuu, Tundu Lissu ana nafasi kubwa zaidi....
Sababu ni hizi;
1. Tundu anatoka chama kikuu cha upinzani.....
Kwa vyovyote hawawezi kuacha kusimamisha mgombea Urais ili wamuunge wa chama kingine kidogo....!!
2. Anauzika kisiasa na majukwaani. Tukio la mwaka 2017 pekee ni nyundo ya kumpondea mpinzani wake Magufuli - CCM iwapo watamsimamisha tena....
LAST BUT NOT LEAST;
Zitto is good, ni mdogo kiumri kwa Tundu kwa takribani miaka 7 au 8, ana nafasi siku za usoni kuwania kiti cha Urais....
Hivyo naamini kabisa ACT Wazalendo ktk nafasi ya Urais, watamuunga mkono Tundu Lissu na CHADEMA....