Uchaguzi 2020 CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wenu mtapoteza muda wenu

Lissu ni mahiri mahakamani kulazimisha uongo kuwa ukweli na kupindisha uhalisia na kumfanya ampingaye aonekane mjinga lkn kwenye kuongoza watu hasa position ya urais hawezi kuwa bora,hana skills,hana uzoefu na hana weledi wa uongozi
 
Kuna kitu kikubwa Sana mh. Lissu anatakiwa kukitekeleza hapa duniani
Kwa kawaida 2017 ndo ilikua mwisho wa maisha yake. Risasi 16!!!! Kuna muda mawazo yananijia mh.lissu Atakua raisi wa Tanzania kwa kipindi fulani ( ndo kilichombakiza duniani).
 
Kuna jamaa flani akiona hii sms lazima atoe kijambo cha SILENCE yaani 'YUSUFU au PIUS' na walio karibu nae hawatafunga pua ili kuonyesha kuwa wanampenda na vitu vyake wanavipenda including flatus
 
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.

Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.

Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.

Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.

Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.

Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.

CHADEM twende kazini.
Mmeanza kutapatapa mapema bado...
 
Hizo sifa ulizotaja ni kama umetumia fasihi kumsema mwenye nchi yake maana zote anazo

....Aisee!... nimekuelewa vyema.
 
Jidu, mbona kipindi chote hiki tumeongozwa hivyo ?!. Tofauti ni nini sasa na mrengo wa kulia ?!
 
Hizo point zako naona hata naniiii zinamuangukia
 
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.

Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.

Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.

Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.

Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.

Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.

CHADEM twende kazini.
Hapa naona umeelezea sifa za current President tulie nae sasa.
Nahisi wewe ni mwana fasihi nguli labda tu usijitambue
 
Kama wanafanana is shear coincidence, lakini Lissu hana vision wala qualities za kuongoza nchi
Dah wewe jamaa unavyoandika utadhani una akili kuliko Mtanzania yeyote,kwanza hujulikani,hoja ,zako za kilevi tu na za kulazimisha,zimejaa chuki,wivu na husda.
Eti Hana quolities za kuongoza nchi,huyu aliyepo ama waliopita Wana quolities zipi,umetumia kipimo gani,unang'ang'aniza tu I hoja vyako vya kishirikina.
Nani aliekuambia kuwa rais lazima uwe na akili nyingi.
Ingekua hivyo Basi kuna watu wangekua manyapala tu.
Kama wapigakura wakimkubari wewe utamkataa?
Watu mnajifanya mnajuuua kumbe mazuzu tu.
Nakufundisha wewe kilaza,kwenye Uchaguzi watu wanaangalia Hali iliyopo hawaangalii hizo quolities zako.
Watu hupiga hata kura za chuki ili kupeleka ujumbe upande wa pili.
Ukraine kashinda mchekeshaji tu Kama Masanja Mkandamizaji,kamshinda Risi aliyekuwepo madarakani Poroshenko.
 
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.

Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.

Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.

Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.

Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.

Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.

CHADEMA twende kazini.

Lissu agombee urais??

CDM bana
 
Dah wewe jamaa unavyoandika utadhani una akili kuliko Mtanzania yeyote,kwanza hujulikani,hoja ,zako za kilevi tu na za kulazimisha,zimejaa chuki,wivu na husda.
Eti Hana quolities za kuongoza nchi,huyu aliyepo ama waliopita Wana quolities zipi,umetumia kipimo gani,unang'ang'aniza tu I hoja vyako vya kishirikina.
Nani aliekuambia kuwa rais lazima uwe na akili nyingi.
Ingekua hivyo Basi kuna watu wangekua manyapala tu.
Kama wapigakura wakimkubari wewe utamkataa?
Watu mnajifanya mnajuuua kumbe mazuzu tu.
Nakufundisha wewe kilaza,kwenye Uchaguzi watu wanaangalia Hali iliyopo hawaangalii hizo quolities zako.
Watu hupiga hata kura za chuki ili kupeleka ujumbe upande wa pili.
Ukraine kashinda mchekeshaji tu Kama Masanja Mkandamizaji,kamshinda Risi aliyekuwepo madarakani Poroshenko.

Hana sifa za uongozi, usipoteze muda
 
Back
Top Bottom