Uchaguzi 2020 CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wenu mtapoteza muda wenu

Huyu mwizi wa bilioni 1.2 kila mwezi, hapana kwa kweli. Baada ya miaka 10 nchi hii itabaki makapi tu.
 
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.

Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.

Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.

Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.

Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.

Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.

CHADEMA twende kazini.
Kuna mtu unamsema kimafumbo kupitia kamanda Lissu

Jr[emoji769]
 
Huyo Mwendawazimu wenu wa kijani mbona hana hata sifa ya kuwa katibu kata!
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.

Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.

Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.

Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.

Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.

Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.

CHADEMA twende kazini.
 
Dah wewe jamaa unavyoandika utadhani una akili kuliko Mtanzania yeyote,kwanza hujulikani,hoja ,zako za kilevi tu na za kulazimisha,zimejaa chuki,wivu na husda.
Eti Hana quolities za kuongoza nchi,huyu aliyepo ama waliopita Wana quolities zipi,umetumia kipimo gani,unang'ang'aniza tu I hoja vyako vya kishirikina.
Nani aliekuambia kuwa rais lazima uwe na akili nyingi.
Ingekua hivyo Basi kuna watu wangekua manyapala tu.
Kama wapigakura wakimkubari wewe utamkataa?
Watu mnajifanya mnajuuua kumbe mazuzu tu.
Nakufundisha wewe kilaza,kwenye Uchaguzi watu wanaangalia Hali iliyopo hawaangalii hizo quolities zako.
Watu hupiga hata kura za chuki ili kupeleka ujumbe upande wa pili.
Ukraine kashinda mchekeshaji tu Kama Masanja Mkandamizaji,kamshinda Risi aliyekuwepo madarakani Poroshenko.
Si unaona Rais , Jokeri, wa Ukraine anavyo chezewa kama gari bovu!
 
Ndugu yangu ukiandika hii posti ulikuwa umeonja ile pombe ya nyuki?
Maana naona umetoa verbal diarhea, uharisho mtupu usio na mbele wala nyuma.
Mtu kutukana watu hadi kufikia kiwango cha kuwindwa si kigezo cha mafanikio wala uongozi mzuri.

Sasa nikupe live , kama atagombea si arudi basi hapa Bongo?
Huyu Lissu ni mtu dramatic, anajua hawezi hata kuingia nchini maana anatafutwa kwa kesi mbai mbali.
Hii ni gia ya kudraw attention ya dunia ili atukane kivyake vyake tena.
 
Nimesikia tetesi kwamba ati Tundu Lissu anaweza kubeba bendera ya CHADEMA kuwa mgombea kwa kiti cha Urais.

Kwa kifupi Tundu Lissu hafai na hana vigezo vya kuwa Rais.

Moja; Yuko hysterical na siyo good listener(si msikilizaji mzuri). Yeye anafikiri anachojua ndio kinatawala kwa mazingira yoyote.

Pili; Ana matusi ya rejareja hata yasipohitajika, hivyo kumsha hasira za mbishani wake yeyote. Hana staha ya kuargue like agentleman.

Tatu; Hana vision, ni reactionary. Sijawahi kumsikia Lissu akieleza ile Tanzania tuitakayo mbele ya safari.

Huyu jamaa ni carbon copy ya despots wengine duniani, na akipata madaraka hawezi kumpa mpinzanii wake nafasi ya kuona upande wa pili wa mazingira.

CHADEMA twende kazini.
iwe jua iwe mvua mimi na familiar yangu tutampigia tundu lissu kura
 
Asiposhinda si ndio mtashinda nyie au hamtaki ushindi tena
 
Ajiandae siku anatua anafikia mahakamani kwenye Kwai alizoziacha. Na bado watamtaka outpaced ushahidi wa waliomshambulia Dodoma. Mpaka hizo ziishe kampeni nazo zimeisha. Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom